@mwl.emilian.katub7: Nimekuombea katika jina la Yesu Mwezi huu wa saba Mungu akufanyie kicheko katika jina la Yesu. Mwanzo 21:1 BWANA akamjia Sara kama alivyonena, na BWANA akamfanyia kama alivyosema. Nimekuombea mwezi huu uwe ni mwezi ambao Mungu atakujilia na wewe kama alivyomjia Sara. Acha Mwezi huu wa Saba Bwana akufanyie kama alivyosema Chochote alichosema juu yako ambacho kimebeba kicheko, furaha, promotion, kustawi, Faida Nimekuombea mwezi huu wa saba Bwana akitimize kama alivyosema Mwanzo 21:6 Sara akasema, Mungu amenifanyia kicheko; kila asikiaye atacheka pamoja nami. Mwezi huu wa Saba Mungu akufanyie kicheko kwenye ndoa yako, kwenye kazi yako, kwenye biashara yako na kwenye kila eneo la maisha yako Mwezi wa saba uwe nwezi wa kicheko kwako na Bwana akufanyie kama alivyosema katika jina la Yesu
Mwl Emilian Katubayemo
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 03:49:01 GMT
Music
Download
Comments
Upendo Jason :
Amina napokea kwa.jina la yesu
2026-07-01 04:34:10
386
princes flory🤍 :
Amen napokea kicheko kwa jina la Yesu katika kila hatua katika maisha yangu
2026-07-01 04:07:40
155
nancy :
Amina naamini Mungu anaenda kutenda no more tears again in Jesus name🙏🙏
2026-07-01 08:03:50
3
jimmy james :
I claim it in Jesus name
2026-07-01 04:28:50
71
🗝 Princess 💟 :
Napokea katika jina la yesu🙏🙏🙏
2026-07-01 05:15:09
104
callmeunique03 :
I receive in jesus name Amen🥰
2026-07-01 06:27:25
27
jaivah star :
huu ni mwezi wangu wa kicheko katika jina la yesu
2026-07-01 06:28:26
33
indvan :
Amina napokea..kicheko ndani ya huu mwezi
2026-07-01 08:11:58
6
user8444771530576 :
Napokea kicheko mwezi huu wa July katika Jina la Yesu Kristu. Amen 🙏🙏🙏
2026-07-01 07:56:34
8
honeybaby%official95 :
amina napokea baraka za mwezi wa saba MUNGU naomba nifanyie kicheko
2026-07-01 05:16:19
24
peninah764 :
I receive it all in Jesus mighty name Amen n Amina 🙏
2026-07-01 04:43:09
3
Honorina Kasiano :
Amen napokea katika jina la YESU kristo haliye hai
2026-07-01 06:57:15
9
maggy.daud :
Amina napokea🙏❤️
2026-07-01 05:00:45
18
Prisca Kalyathi :
Amen 🙏
2026-07-01 04:45:27
5
ismailamar$#567 :
everything is on God amen 🙏 🙌
2026-07-01 07:54:57
1
joyline047 :
Amen God May u answer my prayer 🤲🤲🤲
2026-07-01 06:48:10
2
samuelkariuki395 :
amen and amen o
2026-07-01 06:56:38
2
Ramuziy kalu :
amini amin
2026-07-01 06:26:12
2
🦋Doris🦋 :
amina na ikawe😔
2026-07-01 06:22:31
27
It's raniah💜 :
Amina Napokea Kwa jina la Yesu alie hai
2026-07-01 06:31:48
8
Mamake Natasha :
Amina naipokea kwa jina la Yesu 🙏🙏🙏🙏
2026-07-01 05:01:48
12
STONE JOSEPH :
napokeaaa aminaaaaaaaa
2026-07-01 03:53:09
7
user4629813463173 :
Amen napokea kwa Jina la Yesu Kristo
2026-07-01 04:32:34
26
dream cute🌹🌹 :
Amina napokea kwa jina la Yesu kristo
2026-07-01 04:45:15
14
Catherine Raphael :
Amina napokea kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth aliye hai.
2026-07-01 05:48:43
5
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm
homepage.