@the3amaltar: *NOVENA KWA MT. ANTONY WA PADUA.*🛐🙏 *🌸Siku ya Kwanza (1)*🌸 *KWA JINA LA BABA, NA KWA MWANA, NA KWA ROHO MTAKATIFU. AMEN.* Eeh Mtakatifu ANTHONY, mnyenyekevu mpole ktk Watakatifu, upendo wako kwa Mungu na Upendo kwa viumbe vyake, alikufanya unastahili, wakati uko duniani, kuwa na nguvu za miujiza. Nimetiwa moyo na wazo hili, ninakuomba uweze unipatie hitaji ninaomba ktk Novena hii… *(Taja hitaji/ Mahitaji yako)* Jibu la ombi langu huenda likahitaji muujiza, hata hivyo wewe ni Mtakatifu wa miujiza. Eeh mpole na mnyenyekevu Mt Anthony, ambaye moyo wake uliwahi kujawa na huzuni ya wanadamu, ninakuomba umnong'oneze mtoto Yesu ombi langu ndani ya masikio, ambaye alipenda kukunjwa mikononi mwako; na shukrani ya moyo wangu milele itakuwa yako. Amina. *BABA YETU.* Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu, kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi, lakini utuopoe maovuni. Amina. *SALAMU MARIA.* Salam Maria umejaa neema; Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu. Sasa na saa ya kufa kwetu. Amina. *ATUKUZWE.* Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu. Kama mwanzo na sasa na siku zote na milele Amina Mt Antony wa Padua UTUOMBEE. *LITANIA YA MT ANTONY WA PADUA.🛐🙏* (Sali binafsi tuu) Bwana utuhurumie Bwana utuhurumie Kristo utuhurumie Bwana utuhurumie Bwana utuhurumie Bwana utuhurumie Kristo utusikie Kristo utusikilize ✝️Baba wa mbinguni Mungu........ Utuhurumie ✝️Roho Mtakatifu Mungu....... utuombee ✝️Utatu Mtakatifu Mungu mmoja 🙏🏼UTUHURUMIE ✝️Maria Mtakatifu 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony wa Padua ..... 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony utukufu wa ndugu wadogo.... 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony nguzo ya hisia wa Mt Fransisco 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony hekalu la hekima ya mbinguni 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mharibu wa ubatili wa dunia 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony aliyeshinda ktk utakatifu 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mfano wa unyenyekevu 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mpenda msalaba 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mfiadini wa tamaa 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony aliyejaliwa ukarimu 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mpenda haki 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony tishio kwa wasiomwamini Kristo 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mfano wa ukamilifu 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mfariji wa wanaoteseka 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mrudisha vilivyopotea 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mlindaji wa wale walioonewa 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mfungua wafungwa 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony muongoza wahujaji 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mrudisha afya 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mtenda miujiza 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mrudisha sauti iliyopotea 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mfungua viziwi 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mfukuzaji wa mashetani 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mrudisha uhai 🙏🏼UTUOMBEE Mt Antony mfukuza hofu 🙏🏼UTUOMBEE Kutoka ktk mitego ya shetani *Utuopoe Ee Mt Antony* Kutoka ktk radi na mafuriko *Utuopoe Ee Mt Antony* Kutoka ktk maovu ya roho na mwili *Utuopoe Eh Mt Antony* Kwa njia ya maombi yako *Utuopoe Ee Mt Antony* Ktk maisha yetu yote *Mt Antony utulinde* Mwanakondoo wa Mungu unaeondoa dhambi za dunia *Utusamehe Ee Bwana* Mwana kondoo wa Mungu, uondoae dhambi za dunia *Utuhurumie Ee Bwana* Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia *Utusikilize Bwana* Mt Antony utuombee tupate kuzaliwa ahadi za Kristo. *Tuombee* Ee Mungu, ninakuomba kwa njia ya Mt Antony wa Padua, muunganishi na Mlinzi, ulipe kanisa furaha, ili liweze daima kuimaishwa kwa njia ya maisha yake ili liweze kupata tuzo la milele. Kwa njia ya Kristo Bwana wetu. Amina. Sala ya kuomba ulinzi wa mama bikira Maria: Mama wa Mungu/bikira Maria unikubali ninapokujia/Mimi ni wako/nikiwa mzima Mimi ni wako nikizimia. Mimi ni wako katika mateso Mimi ni wako katika misiba. Mimi ni wako uwapo msalaba. Mimi ni wako kwa sasa na daima. Mama wa mungu Bikira Maria unikubali ninapokujia. Mama ninakutumainia/ nakutegemea. Mama nakung'ang'ania/nakulalamikia. Mama mwenye huruma/unisimamie. #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #usa🇺🇸

THE 3AM  ALTAR 2026
THE 3AM ALTAR 2026
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 05:33:43 GMT
12227
806
51
67

Music

Download

Comments

sylvianthoki
sly🥴😜❤️ :
:nimejaribu kujiunga na link nimeshidwa unaeza nisaidia
2026-07-01 12:57:47
0
shivianfrick6
shivian shivy :
amen
2026-07-01 05:53:17
1
user9998001594613
cecilia35 :
aminaaa🙏
2026-07-01 06:31:36
1
sarah.john8570
Sarah John :
amnin
2026-07-01 12:29:13
0
christinakennedy772
christinakennedy772 :
Mt Antoni wa Padua Utuombee 🙏
2026-07-01 07:33:33
1
janethasenga3
Janeth asenga :
MT ANTONI WA PADUA UNIOMBEE AMINA
2026-07-01 12:42:55
0
veronicachembele
veronicachembele :
Mt. Antony uniombee Mimi na familia yangu
2026-07-01 13:10:53
1
msangi95
user1648707996600 :
utuombee
2026-07-01 12:40:48
0
user7185099058372
buimary :
Amen
2026-07-01 12:23:07
0
tabitha.muthusi
TABITHA MUTHUSI :
amina
2026-07-01 11:51:59
0
elymissa
Dra Queen Elizabeth Missa💎 :
Amen ❤️🙏!
2026-07-01 12:36:44
0
monica.mtabwa
Monica Mtabwa :
Amina
2026-07-01 12:25:31
0
ambrose.mutua6
ambrosemutua :
Amina
2026-07-01 12:07:55
0
user3538570858668
Rehema Queen :
Amina 🙏🏻
2026-07-01 12:31:02
0
upendojustine5
upendo :
my Anton wa Padua utuombeee 🙏
2026-07-01 12:46:10
0
misssympathetic
miss sympathetic :
Mt. Antoni wa padua Utuombee🙏
2026-07-01 12:10:29
1
anthomwaniki2030gm
2026-07-01 11:55:37
0
joyce.claudio3
Cha upole :
Amina
2026-07-01 05:55:03
1
user1382904544622
Rose :
Amina
2026-07-01 11:39:53
0
elizabeth.massawe09
Elizabeth Massawe :
amen
2026-07-01 13:26:01
0
vexunoir
vexunoir :
Amina
2026-07-01 11:34:45
0
ndope79
Ndope :
amina
2026-07-01 11:26:37
0
naulimgaya
naulimgaya :
AMINA
2026-07-01 11:08:20
0
shangazi.baby
zizuu :
Amina
2026-07-01 11:38:02
0
itsjolly_1
itsjolly_1 :
amen
2026-07-01 06:02:55
0
To see more videos from user @the3amaltar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About