@veriafya: Mfumo wa Mkojo na Mfumo wa Uzazi kwa Wanawake imekaribiana kiasi kwamba maumivu kwenye Mfumo mmoja wapo unaweza dhaniwa ni ya Mfumo mwingine Ufafanuzi huu umetolewa na Dkt. Murete Sanare Lukumay, Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi na Mganga Mkuu wa Ekenywa Specialised Hospital kupitia kituo cha BONGO FM