Mm nakupenda da leyla Allah akupe umri mrefu wenye manufaa
2026-07-01 11:03:27
17
Hanifa :
Assalaamu alaykum warahmatullahi wabarakatuhu,shikamoo madam Leila
Nimekuwa nikijifunza kupitia maudhui yako,nina jambo la maisha linalonigusa sana na ningefurahi kama ungenipatia hata dakika chache za ushauri.
Asante sana,Allah akubariki
2026-07-01 07:46:48
4
sarahsamuel89 :
Ni mm huyo jamnnn Yaan mpaka Nafikiria siku nikipata mimba itakuaje🙌🙌🙌😅
2026-07-01 19:26:07
6
nimfaraj :
asalaam alykum daa Leyla mm nko na shda kwenye ndoa yngu naomba ushauri wako mm na mume wangu tukikosana kidogo yeye Huwa n vita kwake na mm nimevumilia sana mpka sai sjui nifanye nn Kwa sababu nko nae watoto wawili nakuomba unishauri nofanyeje
2026-07-02 11:14:28
0
Isocka Ir :
2026-07-02 09:53:03
0
melkisha :
😂😂😂 Et Simba 🙌 …. Kina baba 👋👋👋 Hongera sana kwa darasa madam 😍
2026-07-01 06:59:55
5
Stumay Ally :
Madam Leila mimi ni mmoja wapo jamani sindano siwezii kabisa
2026-07-03 05:34:27
1
MJIU WA T.A.TZ :
Assalaamu alaykum, madam umesababisha nimecheka bila kukusudia, hata mm ni muoga wa sindano hasa nikimuona anaisafisha nahisi akili yangu inavurugika,
2026-07-02 18:10:27
0
🤲 :
MASHA'ALLAH TABARAKA'ALLAH AHSANUL KHALIQIIN ALHAMDULILLAH TRUE FACTS ....👌SAWA KABISA MY GORGEOUS MAMII MADAM ♥️
2026-07-02 00:04:06
2
Raphael Junior :
ubarikiwe San kwa somo madam
2026-07-01 08:26:32
2
Bahati Kasibu :
madam love ❤️
2026-07-01 08:17:51
0
Adhya Mwinjuma :
hata mimi😂😂😂
2026-07-01 06:53:35
1
momy :
mimi pia naziogopa sana
2026-07-02 04:51:45
1
Aidar Hijja :
Ni kweli Maadam
2026-07-01 11:39:46
0
Abuu Kauthari :
Karibuni Kiarabu
2026-07-01 09:05:35
0
user2361941810694 :
Asante Kwa kutufuza🥰🥰 🤗🤗
2026-07-01 10:20:23
0
kanasoni.m :
hata Mimi, Kuna siku nilichomwa sindano😅 nililia
2026-07-01 09:35:44
1
redmi kariakoo Tanzania :
nilijua peke yangu ndio naogopa sindano kumbe tupo wengi
2026-07-01 07:46:18
1
joshualongida :
Maasai
2026-07-01 20:36:56
0
Jeniphar Brown :
mwingine yupo uku
2026-07-01 16:51:55
0
Troubled Man :
tupo si yeye pekee
2026-07-01 07:33:29
2
Amina Enterprises :
madam Leyla hilo ndio tatizo hata mimi nimetoka kuwaambia vijana wangu niliowaajiri kwenye kufundisha dini hakika umeona mbali
2026-07-05 15:17:26
0
Mr.twite :
🤣🤣🤣🤣....tupo wengi
2026-07-01 07:06:52
0
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm
homepage.