@josephndobandola: “Hakuwa na mtaji… lakini leo biashara yake imebadilisha maisha yake!” 🔥 Kwenye Tuzo za ARISE AND SHINE 2026 – Superdome Masaki, ushuhuda wa ANORD uliwagusa watu wengi. Wengi walimkatisha tamaa. Wengine waliona hawezi. Lakini hakukubali kuwa wa kawaida. Alianza biashara ya BF SUMA kwa kuongea na wateja na kuuza kwa sababu hakuwa na mtaji. Akaanza kuuza zaidi, akawa mvumilivu, akajifunza, na leo biashara hiyo imekuwa chanzo cha mafanikio kwake na imekuwa ikibadilisha maisha ya watu wengi. Kila siku tunasikia visingizio: ❌ Sina mtaji. ❌ Sina uzoefu. ❌ Sina mtu wa kunisaidia. Lakini ANORD amethibitisha kuwa visingizio haviwezi kushinda mtu mwenye uamuzi. Mimi sifurahii biashara hii kwa sababu tu inaleta kipato, bali kwa sababu inanipa nafasi ya kuona vijana wakibadilisha maisha yao kupitia fursa halali. Kama ANORD aliweza kuanza biashara hii , wewe unangoja nini? 👇”ANDIKA nahitaji kujiunga kwenye comments nikukaribishe KWENYE semina ujifunze biashara hii “ #AriseAndShine2026 #BFSUMA #Motivation #fyp #foryou

josephndobandola
josephndobandola
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 06:55:39 GMT
209
16
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @josephndobandola, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About