@isayabaden: FUNZO LA MAISHA #wasafimedia #thestorybook #swahilitiktok🇹🇿 #foryoupage❤️❤️ #fyppppppppppppppppppppppp

Isaya Baden
Isaya Baden
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 07:06:22 GMT
129223
14124
259
670

Music

Download

Comments

sbkcj_
KCJ :
respect
2026-09-28 22:34:15
0
mwadiniamei0
usero777592113 :
m,mungu atupe mwixho mwema
2026-07-01 19:29:01
71
jey.one81
jey one⚠️ :
ndio maana situnzi ela yangu kabsa
2026-07-03 19:11:36
34
africadear3
baracka Africa 🌍 :
brother umefanya niwaze kwamba hiih dunia ni kama tunaish kama maisha ya profile status
2026-07-02 19:55:29
65
richardkipole38
Rich Tz :
uyuu juuyuuuuu jamaa sahz stor zake zinapatkana kwenye chanel gan
2026-07-02 12:05:15
24
esha38983
Esha3898 :
Mwenyezi mungu atuajalie mwisho mwema 🤲
2026-07-03 08:41:19
13
mwambastev
Mwamba :
jamali profesa CEO wasafi media
2026-07-03 19:03:24
5
generationz67
Generation ze-ed🤗{GEN-ZEE} :
umeniogopesha, have watched it more than 5 times.... nmeanza imaginations
2026-07-03 10:29:27
5
user4135035141206
happy wambi :
sahihi sabb hata si tumekuta ipo ivo
2026-07-02 09:30:07
4
kasenga24
Lucia :
huu ndio ukweli watu atupendi kuhuskia kabisa.....Ila Mungu atupe mwisho mwema dunia hii tunapokezana tu
2026-07-02 10:54:30
11
joshuamyinga781
Joshua Myinga :
mi ntakuwepo broo
2026-07-02 16:15:01
6
doris.stylish
Doris Stylish :
Umefanya niwaze mbali sana kaka ang 😞😞 ila ndo ukweli duh!
2026-07-22 20:37:12
1
mrusi_1974
Bin-Rahma🤍 :
nimejikuta natoa machozi.......Allah atujalie mwisho mwema
2026-07-02 12:31:01
3
mutheewanjuru
Tupac :
Na Allah atujalie Maisha Na mwisho mwema
2026-07-03 18:02:32
2
benah706
Benah :
laiti tungetafuta mungu Kwa hiki kipindi kipupi. mungu nisaidie
2026-08-16 10:07:25
2
user3811600375992
user3811600375992 mahustler :
hop n ukweli
2026-07-02 06:45:27
6
harmo.love26
Harmo Love❤️ :
2026-07-02 05:03:51
2
janethrobison
janethkitobe :
mkaka nakupenda sana wee
2026-07-23 11:32:12
0
aliymazruy09
Aliy Issa mazruy :
maneno yenye ukweli mtupu na yote utake usitake, shukran professor Jamal
2026-07-01 17:06:24
6
tony.makundi
Tony Makundi :
kweli mkuu
2026-07-02 18:10:26
2
alex.mweu2
@alex k. :
Don't make me loose hope in life 😎😎
2026-07-03 03:52:28
2
salim.masoud05
Salim Masoud :
tosha kaka usiendelee machozi yananitoka
2026-07-25 17:24:35
1
duncan.paul4
Duncan safari Tour Guide :
kweli kabisa mkuu tuna pitie tu apa duniani mwenyezi mungu katupagia mazuri
2026-07-06 09:56:08
1
elfazorgreys
elfazorgrey :
Daah! Tumche "MOLA" wetu na tujiwekee hazina ya baadaye, Amen 🙏🙏🙏
2026-07-04 10:02:41
1
hamisimohamed759
Hamisi Mohamed :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰WALLAHI HATA MIFUPA YETU 🥰🥰🥰ITAKUWA IMESHA LIWA NA mchanga🥰Innalillahi wainnailayhi rajiuun🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-03 21:06:26
2
To see more videos from user @isayabaden, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About