kimsingi tunahitaji katiba mpya katiba iliyopo ilikuwa ya watanzania milioni 25 or 30 na Kuna uwezekano nusu ya hao wameshafariki maana ni miaka 50 Sasa tangu katiba ya mwaka 77 itoke so tunaomba katiba yenye mawazo yanayoendana na idadi yetu na nyakati husika katiba iliyopo Ina maslai na watawala na sio watawaliwa pls madam president tunaomba katiba mpya pls
2026-07-27 14:04:39
4
Reymah Hassan Abdillah :
ni kweli mama
2026-07-27 14:37:23
1
Bishop Dr. Stephen G. Mwangi. :
Ayubu 12:7. Wanyama wanaelimisha! Ayubu 12:7.
2026-07-27 09:03:44
2
Dylanic :
2026-07-01 17:08:35
8
wewe :
moto utatoka
2026-07-01 18:36:21
5
matheo87 :
mheshimiwa tunakukubali
2026-07-04 13:40:10
3
team Tz :
safi sana mama samia oyeee 😁😁😁😁
2026-07-01 18:42:44
9
ruby :
2026-07-01 10:15:02
5
Godwinkainamula :
👏👏👏👍🇹🇿💪 Kazi na Utu tunasonga mbele.
2026-07-03 10:06:53
2
mashakapimo :
2026-07-02 23:19:24
2
gunner man :
hahaaaaaaa kwisha habari
2026-07-25 16:22:05
2
aziz mkumbo :
Asante mh Rais
2026-07-02 16:19:07
4
@fmy748 :
2026-07-01 19:36:49
4
To see more videos from user @fichua.hub, please go to the Tikwm
homepage.