@prosper.william: 💥💯Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu amesikitishwa na kauli za kiongozi wa Simba Mangungu kudhihaki Yanga kwa kauli mbalimbali kama Maigizo, kununua mechi, marefa nk. 💥Msikilize kauli yake na maombi yake kwa Mangungu.

Yanga School of soccer. gp
Yanga School of soccer. gp
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 07:10:35 GMT
8119
238
22
33

Music

Download

Comments

alphoncejohnny500gmail.c
@mr Jr :
apo umeongea kwel
2026-07-01 09:00:44
4
janethjustin525
janethjustin525 :
Mangungu oyeee!
2026-07-02 01:34:42
0
user8690042302857
user8690042302857 :
mangungu yupo sawa kama malefa mnawa azibu
2026-07-01 12:44:10
0
user7819733663817
user7819733663817 :
ushahidi ipo mwingi sana sana
2026-07-01 22:30:53
0
iddishabani882
iddi shabani :
SAFI SANA HILO ZEE JINGA SANA
2026-07-01 12:04:18
1
doreenmwacha0
Doreenchama kibabage gueye :
safi sana mangungu
2026-07-01 12:52:37
2
augustinomtweve88
Augustino Mtweve :
Karia anajidhalilisha
2026-07-01 16:56:49
0
user83211565493722
kuta za juu :
koomooo....
2026-07-01 12:53:20
2
user9435241616593
Suleimani sulle :
wafute kwenye ligi waende kenya
2026-07-01 12:10:58
1
amin.hamis0
Amin Hamis :
mperekeni mahakamani
2026-07-01 17:34:09
1
givendennis
Marck :
Magugu ndio nani tena?🖐️👀👀👀
2026-07-01 19:57:56
0
magrethmgawe17
Magreth Mgawe :
mangungu amesoma mpaka kidato cha ngapi au chuo gani jamani au memkwa
2026-07-01 17:58:26
0
bayanisara
chidy bayan :
ongea na marefa wako wanatuaribia mpira kaongea kweli tunajua ikweli uauma
2026-07-01 20:43:42
0
rajabu.juma989
Rajabu Juma :
ndio marefa wenu wanatumiza
2026-07-01 20:41:09
0
judith.tito06
Judith tito :
tena mwiteni
2026-07-01 19:22:37
0
khadija.yusuph7
Khadija Yusuph :
unajua vizuri acha kusanifu watu
2026-07-01 10:56:33
0
emmanuelmwakamele1
Mwakamisa :
Kwani Karia hajui?
2026-07-01 13:07:03
0
jsephatsospeter
GTF intertement :
mnapochanganya mpira na siasa ndio mazara yake
2026-07-01 12:34:20
0
maunaji1
shedrack :
🥰🥰🥰
2026-07-01 08:53:10
3
mwana.mussa
Mwana Mussa :
😁
2026-07-01 11:22:23
0
To see more videos from user @prosper.william, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About