Hii nyimbo yanikumbusha mbali walai, mabera karibu na isebania, miaka ya kitambo nilikua na mpenzi kutoka huko lakini baba wa mpenzi wangu hakuridhia ndoa ya kabila sio yao, wah mapenzi ilinitesa, @Ronald oenga jamani tokea mahali ulipo angalao nikuone miaka mingi imepita mpenzi🥰🥰
2026-07-01 19:44:48
5
unknown :
mapenzi ya takataka🤦😭
2026-07-02 08:50:18
2
Ikuta Ronald :
this song made someone to give me wholeheartedly
2026-07-02 18:55:42
2
castrinenasrah❤️ :
translate for me please 🙏
2026-07-02 17:47:13
0
rose atieno :
he utanichezea
2026-07-02 19:53:49
1
le Baron :
sitaki ku lia plz
2026-07-02 19:41:32
0
user66881421661713 :
ndiyo
2026-07-02 11:26:51
0
Nasha verah🌹🌹 :
Sam wa ukweli Mungu aendelee kuilaza roho yako mahali pema peponi nyimbo yako nzuri sana