@hamsan_______: Mama nakupenda sana kuliko maneno yanavyoweza kueleza Wewe ni nguzo ya maisha yangu chanzo cha furaha yangu na baraka kubwa kutoka kwa Mungu Asante kwa upendo wako usio na mipaka kwa malezi yako na kwa kila jambo ulilonifanyia Kila siku ninajivunia kuwa na mama kama wewe Nakutakia afya njema furaha na maisha marefu Nakupenda sana mama na nitathamini uwepo wako milele ❤️ @RAHMA VIJORA ❤️❤️❤️❤️#tanzaniantiktok🇹🇿 #zanzibartiktok #trending #