@juma_zahoro: SHEIKH WALID ALHAAD - TOA MAWAIDHA KWA UPOLE.

Faidika Na Mawaidha
Faidika Na Mawaidha
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 08:05:56 GMT
160757
16496
910
593

Music

Download

Comments

narash87
narash❤️😍 :
Tunafokewa baba na macho anatoa anasema hatuna adabu 😩😩😩😂😂😂😂😂😂
2026-07-22 13:48:44
457
__virgo60
Virgo ♍️ :
😂😂Yule wa saivi anatufojea jamani
2026-07-20 20:28:57
28
tumaa145
tumaa🌹♥️🫶 :
shekhe hii ulikua mwaka wa mbele kabisa sahv tunachambwa bhn
2026-07-21 20:54:06
325
lbrozooh
Raheem ibraheem :
huyu apa
2026-07-24 10:53:35
149
goodluckabdallah
G ABD :
Huyu wa sasa atatutoa roho! 😂😂😂 bado tuambiwe tu aibu tutaona sisi
2026-07-21 10:39:54
93
mulhart4
ukhty :
Kumbe naww umeshaon tunavofokewa.. 😏 😂😂😂😂😂Ila waliid tunakupenda san
2026-07-20 11:00:22
289
ruckydady
Mimy :
ndo anatufokea asaiv
2026-07-21 18:38:54
68
sophiemavura
Sophee Mavura :
Shekhe wetu ulikuwa mbele ya muda.
2026-07-21 14:03:07
173
zaynabzuber
زينب🦋 :
Sasa Yule kaanza kutufokea baba 😁
2026-07-21 20:30:02
38
laynah184
……………………..nah☘️💞 :
Nataka kucheka kwa voice note 😳😂😂😂😂😂
2026-07-21 20:02:50
24
narmin.niroo7
Narmin Niroo :
nimecheka nikakumbuka macho yalopostia na miwani ya sheikh mpya
2026-07-22 20:27:25
32
mimah.harith3
Mimah Harith :
Huyu mzee alikuwa mbele ya muda
2026-07-20 18:46:38
103
rubby.mambo
Da Ru :
Baba sikuhizi watu twaongelewa ivyo yaadi kisa kupiga magoti twachambwa
2026-07-19 21:08:40
27
bigman_satoh
Bigfish🐋 :
😂😂😂 ndivyo anavyotuongelesha ckuizi 😂
2026-07-21 03:57:43
31
kheriramadhan
Khayrun19 :
🥺🥺🥺🥺 Baba, anafanya kama hivi....
2026-07-24 18:16:34
7
mzee_.wa_busara
بن بادفر :
Daah hii clip kama imesemwa jana kumbe ya muda hahaha
2026-07-20 18:13:19
41
prettysweat435
bi mzuri🥰🇹🇿🇧🇮 :
sheikh tunajionea saiv yan had tunaogopq🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-20 17:13:20
18
angelbeaut10
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Nikama aliona mbele 😂😂😂 tunafokewa baba njoo utuokoe
2026-07-22 08:11:29
10
rashidmashaka18
RashidMashaka :
Our next MUFT mashallah twakupenda shekh wetu tunaimani na Walidiiiiiii
2026-07-21 21:22:16
10
easter.paul0
Easter paul :
mimi nikifika dar nikwako Moja kwa moja kunisilimisha
2026-07-23 15:50:07
31
ishersweetscake
Isher sweets cake🍴🍽🎂🍰🧁🍾 :
hii ilikuwa mbele ya muda ila kwa sasa haina come back 😂😂
2026-07-24 09:10:06
29
user8397228702056
chiku :
Watakuchukia mpaka basi sheikh wang.😂😂😂
2026-07-20 09:49:50
18
msingwa.jogging8
Ghost General trainer 🔥 🇹🇿 :
🤣🤣🤣🤣🤣 habari kashaipata sisi vijana tupo na ww shekh wetu ww
2026-07-26 10:46:14
6
user98005323114270
Humble :
Sheikh Walid yule mdogo wako ametufokea na kutoa macho. Tunakumiss sana Sheikh letu. Allah akuhifadhi
2026-07-21 15:06:30
20
prettythum
pretty thum🥰😍 :
ndo maana unapendwaa ndo nimeelewa leo
2026-07-21 13:39:10
7
To see more videos from user @juma_zahoro, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About