@mwanahamisikiping: MBEGU ZA MWANAUME NI NZURI, LAKINI MIMBA HAIINGII? 🤔 Sababu mojawapo inaweza kuwa maambukizi kwenye njia ya uzazi ya mwanamke. Maambukizi yasipotibiwa yanaweza kuathiri mazingira ya uzazi, kufanya mbegu zishindwe kufika kwenye yai au kuongeza hatari ya matatizo kwenye mirija ya uzazi. Ukichelewa kutibu maambukizi, yanaweza kuathiri uwezo wa kupata ujauzito. Usipuuzie dalili kama: ✔️ Uchafu usio wa kawaida ✔️ Harufu mbaya ukeni ✔️ Kuwashwa au maumivu ✔️ Maumivu wakati wa tendo la ndoa Pata ushauri mapema na chukua hatua stahiki kwa afya yako ya uzazi. 📞 Kwa maelezo zaidi na huduma, wasiliana nasi: 0673178170#mwanamke##uzazi #fyp #hedhi

@Mwanahamisi health hub
@Mwanahamisi health hub
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 08:46:46 GMT
467
12
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @mwanahamisikiping, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About