@foodloverstz: My loves, Hii wiki usipitwe na hii recipe, pika kwa lunch au dinner enjoy na uwapendao. Vibambala vizuri mnavipata @samaki_kona 🍛 Sufuria na vyombo classic mnavipata @vyombo_centre anatuma popote ulipo kwa uaminifu. 📌 Viungo vyote vya kupikia mnavipata @foodlovers_products kwa wauzaji mikoani kote. Kila sauce ya kupikia ina kiungo chake kikavu, unaweza kutumia vyote katika upishi au ukachagua kimoja wapo. Bei Zetu:- ✔️ SAUCE ZOTE Tsh. 10,000 /= ✔️ VIUNGO VIKAVU Tsh. 5,000 /= ✔️ PILIPILI Tsh. 5,000 /= Wasiliana nasi kwa 0677009477 ( WhatsApp /Call) ili kupata uwakala mahali ulipo au kupata bidhaa zetu kwa bei za jumla.