poleni sana wananyanga tukiachana na ushabiki yulenibinadamu mwenzetu poleni sana
2026-07-01 11:52:51
54
Jackiekamu :
me ni simba but imeniuma sana Mungu amponye
2026-07-01 10:04:14
181
Mr.bones :
kama umekuja kusoma comment gonga like hapa
2026-07-01 09:54:54
93
Mtu mweusi :
pole sana Pacome wetu, Mungu akuponye urudi uwanjani
2026-07-01 10:35:27
49
itinde :
Dhuruma ni mbaya sana afu mungu alivyo wa ajabu huwa analipa,, ubingwa mliochukua haikuwa yenu, mmedhurum Simba na bado Simba wanalia na mungu wao, na bado
2026-07-01 10:13:05
56
laureen@1230 :
Daaaaaaah pacome jamani😔😔
2026-07-01 09:58:52
21
masofa empire :
mungu amsimamie Maana ukishasikia neno jopo
2026-07-01 12:47:02
6
johnsonkagusu :
Tunaamini atapona na atatejea uwanjani akiwa na kasi zaidi.... kama unaamini pia gonga like.....
2026-07-01 12:48:04
8
samwel :
Glory 😤 to God
2026-07-01 09:39:19
10
Pius Simtala :
Mungu akuponye Pacome
2026-07-01 09:54:41
2
Mimmer Dimpy :
get well soon kaka paccome
2026-07-01 09:39:43
2
Zulekha Ngosha 🥰 :
Ni kweli mixed feelings 😭😭😭💚💛
2026-07-01 10:54:04
0
nessi mapema :
poleni
2026-07-01 09:51:17
2
💗Vance 💓 Brown 👅 :
Mimi kama Mimi nasema asante alo mvunjaaa 😁😁😁😁💪💪💪💪🤣🤣🤣
2026-07-01 10:34:41
61
neema Queen :
nililia saaana mpk sasa naumia😭😭😭😭
2026-07-01 09:48:43
111
debra🥰 :
eeee mungu nakuomba uendelee kumpa uponyaji wako
2026-07-01 09:23:18
53
patrisha :
mungu akusaidie upone kwa alaka pakome wetuu
2026-07-01 09:28:58
47
Grad Queen :
mungu ni mwema, atasimama ktk ili 🙏🧎
2026-07-01 13:03:41
8
@engineerstima :
GOD BLESS HIM LOVE
2026-07-01 09:34:31
8
Ney❤️ :
Mungu amuponye pakome wetu
2026-07-01 11:21:15
19
To see more videos from user @jaysontz2, please go to the Tikwm
homepage.