Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@nguyt.nguyt.shop6: Bộ gấu 2 sọc quần ôm #dobo #dobomacnha #thoitrangbigsize #thoitrangnu #thoitrangtrungnien
Nguyệt Nguyệt Shop
Open In TikTok:
Region: VN
Wednesday 01 July 2026 12:02:00 GMT
1471
10
0
4
Music
Download
No Watermark .mp4 (
4.38MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
2.92MB
)
Watermark .mp4 (
4.77MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @nguyt.nguyt.shop6, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Afya siyo kitu unachokitafuta unapoumwa, bali ni uwekezaji unaoufanya ukiwa mzima. Kadri miaka inavyosogea, uwezo wa mwili wako kujirekebisha (metabolism) unapungua, hivyo unalazimika kubadili mfumo wako wa maisha. Kama unataka kuzeeka kwa hadhi na kuepuka magonjwa yasiyoambukiza, ACHA mambo haya 10 kuanzia leo: 1. ACHA KULA SUKARI ILIYOPITILIZA Sukari ndiyo adui namba moja wa mishipa ya damu na kichocheo cha kisukari na unene uliopitiliza. 2. ACHA KULA CHUMVI NYINGI MBICHI Chumvi nyingi inashikilia maji mwilini na kuongeza shinikizo la damu (BP), jambo ambalo ni hatari kwa moyo wako. 3. ACHA TABIA YA KUKAA MUDA MREFU BILA KUJISHUGHULISHA Mwili haukuumbwa kukaa kitako masaa 8. Kutokufanya mazoezi kunafanya viungo vyako "vinge kutu" na misuli kudhoofika. 4. ACHA KULA CHAKULA KIZITO USIKU SANA Kula milo mizito baada ya saa 2 usiku kunaufanya mwili ukose muda wa kupumzika na kusababisha vitambi na matatizo ya mmeng'enyo. 5. ACHA KUNYWA VILEO NA SIGARA Vitu hivi vinachakaa ini, mapafu, na kuharibu seli za ubongo kwa kasi zaidi kadri umri unavyozidi. 6. ACHA KUPUUZA USINGIZI Usingizi ni "service" ya mwili. Ukikosa usingizi (masaa 7-8), unakaribisha msongo wa mawazo na kudhoofisha kinga ya mwili. 7. ACHA KUTUMIA DAWA BILA USHAURI WA DAKTARI Matumizi ya dawa za maumivu (painkillers) kiholela yanaharibu figo na ini lako kimya kimya. 8. ACHA KUKASIRIKA NA KUWEKA KINYONGO Hasira na msongo wa mawazo (stress) huzalisha kemikali ya Cortisol ambayo inachosha moyo na kukuzeesha sura haraka sana. 9. ACHA KULA VYAKULA VYA KUSINDIKWA (PROCESSED FOODS) Vyakula vya makasoti na vinywaji vya viwandani vimejaa kemikali na mafuta mabaya yanayoziba mishipa ya damu. 10. ACHA KUSAHAU KUNYWA MAJI Kiu siyo ishara ya kwanza ya kuhitaji maji. Maji ni uhai; bila maji, figo zako zinateseka kusafisha sumu mwilini. UNATAKIWA KUZINGATIA HAYA : 1. Kula mbogamboga na matunda kwa wingi kila siku. 2. Kunywa maji angalau lita 2 hadi 3 kwa siku. 3. Fanya mazoezi angalau dakika 30 mara 3 kwa wiki. 4. Pima afya yako mara kwa mara (Check-up), usisubiri uumwe. 5. Pata muda wa kupumzika na kucheka na marafiki/familia. 6. Dhibiti uzito wako kulingana na urefu wako (BMI). 7. Pendelea protini za mimea (maharage) na samaki kuliko nyama nyekundu. 8. Tumia mafuta ya mimea (alizeti/mzeituni) kwa kiasi kidogo. 9. Lala mapema na amka mapema ili kuupa ubongo utulivu. 10. Mshirikishe Mungu na uwe na amani ya nafsi. NENO LA MWISHO: Mwili wako ni nyumba pekee uliyopewa kuishi hapa duniani. Usiibomoe kwa mikono yako mwenyewe kupitia kinywa chako. Badilika leo, ili ufurahie uzee wako kesho! Je, kati ya haya 10 uliyotakiwa kuacha, ni lipi gumu zaidi kwako? Tuambie kwenye comments tusaidiane! 👇🏾🍎 #afyayako #afyabora #healthtips #drmecky360 #tanzaniantiktok🇹🇿
em cuốn theo nhạc... #nhảy #xuhuong #trend #cover
Ting ting and bilqis concert blackpink deadline day 1 Jakarta#ayutingting #bilqis #blackpink #deadlineworldtour #fyp
Chiều nay bác nào lỡ đi tầm này rồi thì xuống biển ngâm tí cho bõ công, lần sau đi lại chăng 🤣#reviewhalong #dulichhalong #homestayhalonggiare #khachsanhalong #homestayhalong
#TikTokPashto #foryou🎧🦅🔥 #📼🎶🎧
Fun in sobriety #soberlife #sobrietyjourney #overcomingchallenges
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy