@rashadmurshidmussa:

Abuu Milhaan
Abuu Milhaan
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 09:01:39 GMT
21399
602
48
118

Music

Download

Comments

dewjimtoto226
Dewji Mtoto store :
Hii ni dalili pia ya kuonesha kuwa Sheikh qasim anampenda sheikh kishk
2026-07-01 12:14:16
28
almagram.fuad.alm
Al-magram Fuad Al-magram :
ustadhi mafuta bana namkubali sanaa huyu jamaa mashallah
2026-07-01 10:37:56
28
al_abry91
Al_abry 91 :
Mashaallah shuqran Sana sheikh Kassim Mafuta Allah akulipe badali kwa kupatanisha na kuunga Ummah..🙏
2026-07-01 19:23:54
4
athumani.mdee0
Athumani Mdee :
hakika mwalim maftaaa umemnasihi uzuri huyu mzeee mola akulipe heri
2026-07-01 10:52:23
25
jabilkarachi
Muneer jay :
mashallah sheikh kasim una hekma sana Allah hakulipe
2026-07-01 16:06:29
11
saidswaleh980
Said Matelephoney :
BARAKHALLAHU FEEK AL AKHY SHEIKH WETU
2026-07-01 16:52:36
7
fatinarashid5
Fetty28 :
shekh Qasim Mwenyezi Mungu akulipe na akuzidishie hekima
2026-07-01 12:17:17
15
user5192413877814
HKM :
Hizi ni nasaa bora kabisa Allah amlipe heri
2026-07-01 14:18:23
17
kemsuleiman
kem :
Alhmdulilah ALLAH ATUPE MWISHOMWEMA
2026-07-01 14:48:51
8
abuu_ayman_24
Abuu_Ayman :
Allah amlipe kheri sheikh mafuta kwa nasaha hii muhimu na bora sana
2026-07-01 18:02:22
3
khalifa7471
Khalifa💦 :
Allah Akulipe Kheri Inshallah mwalim
2026-07-01 18:46:21
2
abuuirfan2525
Abuuirfan :
fanyiakazi kwanza iyo salam uijue kuitamka bc
2026-07-01 17:33:54
5
mwamini.mushi
shufaa :
HUFAI KABISA WEWE 😐
2026-07-01 16:18:46
3
yartaomary
Yarta Omary :
MashaaAllah.
2026-07-01 15:49:45
3
ikary2499
ikary :
MaashaaAllah
2026-07-01 16:35:14
2
tim.tego
Tim tego :
mashaallha alh akuongoze
2026-07-01 11:27:50
5
kuliganya
kuliganya boy :
mungu akuongoz shekh umeongea point kwa heshim sana
2026-07-01 11:50:22
7
zahra.bafan
Zahra Bafan :
ln Sha Allah. Allah ampe lmani akubali maneno yko. na ww Allah akupe jazaah yako.
2026-07-01 12:48:35
6
mwana670
I gueye :
hakika shaikh MashaAllah Allah akubarik
2026-07-01 12:08:19
7
maosal66
أبو أحمد :
❤️❤️❤️بارك الله فيكم
2026-07-01 10:23:44
8
bixente01
Bixente :
Nasaha nzuri sana. Inshallah zitekeleze
2026-07-01 15:13:41
3
wemaauozivyomboshop
WEMA AUOZI VYOMBO SHOP🏘️🏘️🏘 :
mashallah thuma mashallah Allah akuongoze zaidi jamani, umefanya kitu kizuri sana km atakifuata kwa ajili ya Allah, mm binafsi nilikuwa naumia sana lakini nakosa nifanyeje, ili ili kitu kifike mwisho wake.
2026-07-01 15:17:39
4
user2061103541812
أختي عائشة الحمدالله 🌟💫⭐️✨️ :
Maaashallah BAARAKALLAH FIIKA Allah akupe umri mlefu na muishomwema duniani na kesho Akhera Shekhy wetu mbora Amiin yaraabby
2026-07-01 19:15:15
1
user2061103541812
أختي عائشة الحمدالله 🌟💫⭐️✨️ :
Waaleykumsalaam warrahama tullaah wabarakaatuh
2026-07-01 19:15:40
0
abdallah.mohammed0191
Abdallah Mohammed :
alhamdulilahi me from Tanzania East Africa
2026-07-01 17:28:02
1
To see more videos from user @rashadmurshidmussa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About