mungu skia ombi lang nakuomba usirud kabla sijamuoa ester
2026-07-31 09:15:24
1
Joyce Temu :
hivi vitu havikaagi pamoja shida unaempenda wewe hakupendi nlichojifunza ni kumweshimu anae nipenda ata kama simpendi ila nijue tu ananipenda mimi inatosha
2026-07-15 10:37:17
3
linah 💞🙏🔐🌸🌸 :
mi napenda watoto wangu ndicho kilicho baki 🙏
2026-07-12 10:08:21
2
Officiall@2030💸💸💸 :
respect mkuu
2026-07-11 15:58:36
1
Glory to God :
mimi niliolewa lakin ndoa yangu haikuwa ya furaha kabisaa nikaamua kuachia ngazi now niko na mume wa mtu lakini najiic niko na furaha sana na amani piaaa anahudumia piaaa tatizo hapo linaweza kuwa nini🥺