@siasatz: WAZUNGU NDIO TUNAIFANYA HII NCHI IWEPO , HAKUNA MNACHOJUA ZAIDI ULEVI, WIZI NA UZINZI Safari hii sijui watapiganiwa na nani hawa Bafanabafana maana kina Nyerere hawapo tena💔. Kwa ufupi tu hii ni sehemu ya tafsiri ya anachokisema huyo Kaburu hapo ambao ndio wanaomiliki zaidi ya 80% ya ardhi ya Afrika Kusini. "Naona kuna Waafrika Kusini weusi wengi wanataka kuwafukuza Wazungu pia hapa Afrika Kusini. Nilikuwa najua kwamba nyinyi ni wajinga, lakini sikuwahi kujua kwamba ni wajinga kwa kiwango hicho. Mzungu ndiye jamii pekee inayochangia kuiweka nchi hii hai. Mkifukuza Wazungu kutoka Afrika Kusini, nawahakikishia sasa hivi kwamba hamtakuwa kama Zimbabwe tu, mtakuwa vibaya zaidi kuliko Zimbabwe. Msiwasikilize hao wapumbavu wanaosema wanataka kufukuza kila mtu. Nafikiri labda umefika wakati wa wazungu wa Wamalawi, Wazimbabwe na watu wengine wote wasio na hatia Labda sisi ndio tuwafukuze nyinyi mrudi baharini. Kwa sababu mnadhani nchi hii ni yenu peke yenu. Hapana, kaka yangu au dada yangu. Nchi hii ni ya kila mtu anayeishi Afrika Kusini na anayechangia kuifanya iwe mahali pazuri zaidi. Lakini kama unachangia kuifanya Afrika Kusini iwe mahali pabaya zaidi, basi sisi ndio tunapaswa kukufukuza. Mnachojua kufanya ni maandamano tu. 'Sina furaha, nitaandamana, nitapinga...' Lakini hamjui kufanya kazi. Hamjui jinsi ya kuboresha mambo. Kila mara mnapomwona mtu anafanikiwa kuwazidi, mnataka kumfukuza. Kwa sababu mnajua kwamba watu kutoka nchi nyingine wanaofanya kazi Afrika Kusini wanafanya kazi zao vizuri zaidi kuliko ambavyo baadhi yenu mnafanya. Mnachoweza ni kulala na wanawake, kunywa pombe, kuiba na kuharibu. Hamtaki kujenga." #SiasaTz #SiasaZetu #TheShepherd30
siasazetu
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 09:18:49 GMT
Music
Download
Comments
Defre :
Message is delivered hoping they'll understand
2026-07-01 11:55:43
38
WazerKing :
thank you bro message delivered
2026-07-01 21:28:34
7
Agness Kileo199 :
Try
2026-07-01 19:47:44
4
user5339978603821 :
2026-07-01 22:17:15
0
عمر عبدالله :
👍🏼
2026-07-01 19:47:54
1
accommodation in Rebero kgl :
thank you
2026-07-01 20:54:26
2
abdulnsabimana :
thanks baba👌👌
2026-07-01 22:13:23
0
user5287528339158 :
tell them my brother
2026-07-01 22:16:53
0
datty🌸🌺 :
2026-07-01 18:09:38
0
damuna❤️ :
2026-07-01 22:54:45
0
Daniel Friendly :
i read the comment. only today😳😳
2026-07-01 18:28:41
1
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm
homepage.