@babually_investment: Kila ujenzi unaanza na tofali imara. Na kila biashara kubwa huanza na hatua moja sahihi. Je, unajua unaweza kuanza biashara ya uzalishaji wa tofali na mtaji unaopangika? Tazama video hii ujifunze zaidi na ufungue fursa yako ya biashara leo. wasiliana nasi kwa ushauri zaidi 👇👇👇👇 📞 Contact: 0756654525 #tofalibora #uwekezaji #ujenzi #entrepreneurship