@cloudsmedia: #cloudsdigitalupdates

Clouds Media
Clouds Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 09:34:19 GMT
217601
16028
399
820

Music

Download

Comments

margah_021
Magrah_021🌸♊️ :
Kuna mda tukisema hatuwapendi wazazi mnatuona Kama tumechanganyikiwa 🥺🥺🥺🥺
2026-07-01 10:38:21
808
witnessmfuru596
Witness Mfuru :
Wote mnao pendwa na Wazazi mwambiyeni Mungu ahsante kwa Huu upendoleo Muwatunze sanaaaa jmni Tunaumia Wengi😭
2026-07-01 11:16:57
239
user7312536658305naeemah
Naيعma🥰🤗💋🫂 :
so touching story😭😭
2026-07-01 16:36:21
0
quad_e1
Quad E_08 :
kumbe jaman achen adekezwe tu na mume wake
2026-07-01 10:32:42
228
daylightmghase1
Daylight Mghase :
simtamani uyu dada aseeee loh
2026-07-01 10:31:30
92
gee45277
Geey💞💋 :
Kuna watu wanaishi na machungu sana mungu awasaidie sana
2026-07-01 11:13:17
92
mchagaa_
Mchagaa :
Mungu ww nimzuri
2026-07-01 10:05:04
119
babe_mommah
babe_mommah :
Nyie huyu dada anastahili maisha aliyonayo now SIS YOU DESERVE IT MOMMAH MUNGU AZIDI KUKUPAMBANIA🫂❤️🙏🏾
2026-07-01 11:19:31
56
mariakanyepo
MP.maria :
baadhi ya wa wazazi ni wanafki jamn na pia wanaupendeleo Sana Kama una bahati ya kupendwa na wazazi hongera
2026-07-01 11:03:09
75
agnesspazz4
Aggy saloon & drink :
Mungu mzuri
2026-07-01 10:34:08
20
zulfamwanyila0
zulpha Islam💞 :
Tuna pitia mengi sana kama mimi nina ushuhuda baba yangu mmmh Mungu ndie anajua
2026-07-01 11:39:20
19
irene.antony6
lrene dimpo 🫶🌹🍎🥂🍾 :
Mungu yup natumai atajibu kwangu maana tunatembea na tabasamu lakn mioyoni tuna maumivu makubwa🙏
2026-07-01 11:53:29
13
user5047201282184
Jennipher cosmas :
Mona wangu maisha unayoish Sasa unastahili sana nakuombea Kwa mungu usijewahi kupungukiwa😊
2026-07-01 10:14:37
33
asmababyworld
esmahan@ally :
katikati ya maumivu mungu hufungua njia
2026-07-01 12:48:36
9
mdadawamakamo
Malkia wa fursa 🇹🇿 :
Dah kweli tusipende kujudge watu haraka.Kumbe zile case za utapeli hata yeye hakupenda 🥺
2026-07-01 11:56:56
10
naphyysky
Naphy sky :
pole dear 😭😭😭
2026-07-01 16:11:10
0
veran690
invisible :
big up sana..
2026-07-01 11:52:04
0
cousin_m
Cousin💃 :
Mmeuona Wema wa Mungu au bado 🥰
2026-07-01 11:29:03
11
teddy.evarist7
Teddy evarist :
Maisha jamaniii mmmmh,,,,Yote Mungu ni mwema
2026-07-01 10:46:17
7
cannie009
Kiddo💕 :
Wateja karibuni
2026-07-01 10:55:27
9
frida.fulgence
frida fulgence Joseph :
pole ongera pia kipenzi hila naomba basi unitumie tisheti zangu 100pc mimi ni yatima sina wazazi ko naitaji na mimi niinuke mamy
2026-07-01 10:36:28
13
dizomont
🦋FIFI🦋🌸🩷⚖️ :
daah kumbe ndo wew
2026-07-01 10:27:16
11
jacklinekateme
Rahabu mwalukasa :
20/20
2026-07-01 11:40:53
2
To see more videos from user @cloudsmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About