@tujijenge_tv: Muigizaji @amina_vikoba akizungumza kwenye kipindi cha mashamsham cha wasafi fm Jana juni 30/2026 na kusema ya kwamba hajawahi kuathirika anapoachana na mume wake na hutumia dakika 5 tu kutafakari pindi anapoachana na mwanaume. #aminavikoba #wasafimedia #sinemazetu #diamondplatnumz
TTV
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 09:36:46 GMT
Music
Download
Comments
Hazaal :
jeuri inatoka kwenye amani yangu ya roho... hii point kbx
2026-07-01 12:04:29
648
esmercloset :
Siwa ana Amani sana jaman ❤️😂
2026-07-01 12:04:59
422
Asia Hilary :
Kikubwa mkojo uko salama sina mimba ewaaaa kikubwa amani ya roho yanguu hii nimeinyakaaaa🥰🥰🥰
2026-07-01 12:44:25
252
s🎀🫧 :
ili ndo jike la Simba 🥰
2026-07-01 13:11:25
241
Alwida Spare Parts :
safi sana hakuna muda wa kulilia mapenz amani ndio kila kitu
2026-07-01 11:05:08
179
Mary-Kisoka@90🌹 :
wanawake tuwe tunajiamini na kutafuta Amani ya moyo
2026-07-01 13:18:32
161
𝐄!😍 :
Natamani niwe hivi jmnii😅🥰
2026-07-01 14:50:18
95
Vee :
ukijipenda sana hutaki kabisa kuteseka kwa lolote
2026-07-01 12:40:47
71
Caristajoseph🫂💖💝 :
Ahsante Mungu nimepata NIDA yangu sasa nifungue account ya bank nianze kuweka vihela 🙏🙏🙏
2026-07-01 12:33:13
53
Shufaah Vikrahm :
safi dada angu ndy mana nakupenda akuna unyonge apa
2026-07-01 12:02:30
48
madame😚😘 :
huyu ni mm kbs asante🙏🙏
2026-07-01 12:54:56
45
aisha athumani hamisi :
uzuri wa ndege manyoya uzuri wa mwanamke kujiamin,bhwanaa🤩
2026-07-01 13:40:12
36
Janeth Joseph Julius 53 :
napenda Amina anavyojiamini kikubwa amani ya moyo
2026-07-01 12:47:38
24
SABRINA JABILI :
wanawake tunaweza hakuna kunyanyaswa
2026-07-01 11:15:04
21
FARH❤ JUMER :
tyano tyuh 😄🙌
2026-07-01 13:31:48
20
Momo :
Dk 5 tu zinatosha🥳
2026-07-01 12:16:35
19
Mankiya_001🎀 :
Peace of mind
2026-07-01 12:56:28
19
CAREEN✨ :
Dakika zangu 5❤️🫂🤌
2026-07-01 12:50:15
17
Pendo-prety😘 :
Siwa ni mkweli sana
2026-07-01 12:07:24
15
Lilian alfred :
mimi mtupu
2026-07-01 11:36:12
15
HgaGoe :
yaan Siwa furaha yake haiingiliwi na mambo ya walimwengu😁😁ndo maana anakuwa na furaha muda wote😊😊 Mungu akupe maisha marefu jaman
2026-07-01 17:51:18
14
breyndah3 :
Ungekua maza angu tungefika mbali sana🥰🥰🥰🥰
2026-07-01 15:16:46
11
Official_isha :
Dakika 5 tu 😅😅
2026-07-01 12:42:47
11
NONO💄 :
Bank nina bei gani 😁
2026-07-01 13:06:41
10
RACHEL COLLECTION 255 :
Dakika 5 tu😄🥰
2026-07-01 16:14:47
10
To see more videos from user @tujijenge_tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.