@bongo_football: Ila Ally kamwe jau sana 😂😂 parade ya yanga itapita pale msimbazi na kukaa kama masaa matano #NBCPremierLeague #simbasc #yanga #FootballTZ #YangaSC
nandio mana jana amefurahi sna kumbe Ako na Siri nzito moyoni,sawa semaji letu hiyo imepita ✅Mo.hussein wakat wake wakutamba🫰wananchiiiiiiiiiii💚💛🎉🎊
2026-07-01 12:19:03
24
lee🥰 :
jamn iyo parade sio mwanza tena🥹
2026-07-01 18:56:54
18
Lightness Ma Dori :
Kama kuna uwezekano mtupititishie kabisa kila nyumba yawana simba ndio nitawaona mmeweza anzeni na mimi nipo hapa jiran tuu kigogo Wana simba wenzangu mnasemaje ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-07-02 15:42:55
1
wwemonalisa :
ila semaji una kela sana
2026-07-01 17:27:49
23
edwingambam :
Hana furaha masikini
2026-07-01 15:16:45
10
user1257123902983 :
wawoooo mohamed hussein
2026-07-01 17:48:29
14
rse :
Unashindwa kufanya mambo yako Kila mda kuiongelea Simba
2026-07-02 11:05:51
1
Najma Rashid :
shida ipo pale pale💚💚💚💚
2026-07-01 17:53:11
23
miss shammy 💞 :
mpaka wasemeee🥰
2026-07-01 18:22:30
8
janepius666 :
semaji bn
2026-07-02 12:48:50
2
Emmanuel Madaha :
mo husein 🤣🤣
2026-07-02 03:22:13
2
Yasinta Taitas :
wananchiiiiiiiiiii oyeeeeeeeee
2026-07-02 08:34:18
5
user3422159659551 :
kombe oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
2026-07-02 09:40:14
3
shaynaa🥰😝 :
tunawakeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 🧡🧡💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚
2026-07-02 10:36:18
2
Mariam MBARAKA :
mm nipo mbali na Tanzania ila nazum timuyangu mwanzo mwisho naipenda sana yanga💚💚💚💚💚
2026-07-01 18:38:45
7
kikoti jenny :
mbona canter
2026-07-02 09:45:39
1
Mashaka Njenge :
ahah
2026-07-01 11:40:58
4
Rey Mdoe :
hqhahahahq
2026-07-02 06:01:33
1
Charlson Richard :
Simba na Yanga zinafurahisha sana Yan
2026-07-01 15:26:56
4
mosam741 :
Qwishaaaaaa😅😂
2026-07-01 20:36:25
2
Hawa Mbugi :
Ali 😂
2026-07-02 16:11:49
1
To see more videos from user @bongo_football, please go to the Tikwm
homepage.