NAOMBA KUULIZA
DUA na Adhkari kwa sauti Baada ya swala Inabatilisha swala (swala iliyoswaliwa Haikubaliki kwa Allah).
Naomba kujibiwa kwa Qur'aan na Hadith.
2026-07-11 09:02:10
1
Tawhid Thinay :
jee mtume s.a.w.w alifunga mikono kwenye swala?
2026-07-05 16:26:20
2
seifmo :
ustadh badru kigogo💯
2026-07-02 06:21:53
7
CHINGA :
video ime base upande mmoja
2026-07-02 09:58:21
0
ابو فرحية السلفي تنزانيا :
kumbe watu walishafnya kax kibwa allah akulipeni kipindi cha ujana we just mlipambna vilivyo allah akulipen kheri nyingi masheikh zetu tunawapenda wote
2026-07-02 04:31:44
9
jillo Komora :
nampongeza ustadh Badru khamis
2026-07-03 10:20:01
2
🌸*نعيمه *🌸 :
wa wema wakizeeka ndio wanazidi kupendeza masha allah
2026-07-02 15:26:39
4
Bigmizuno :
Hasira za nini sasa
2026-07-07 07:32:42
0
ABUU SAHIL :
nani huyu bahari ama
2026-07-01 14:11:36
0
Umm mhamad :
Mm naona mawahabi hawaelewi mambo deep down . Wanachukua mambo juu juu tu
2026-07-11 21:20:00
1
abdura57 :
hii ilikua mwaka gani?
2026-07-02 14:30:23
0
slum :
Asante mjomba Abuu Hamza kwa elimu nzuriii
2026-07-01 14:06:57
3
Moha lights :
Ustad badru mungu amhifadhi
2026-07-02 05:54:28
2
Alameen :
ustadh badru kiboko MashaaALLAH
2026-07-05 20:28:19
0
Ibn Hussein :
eh...
2026-07-03 13:32:40
0
Baba Salman :
wewe humo weeh hii badru akusema poa
2026-07-05 12:03:40
0
salum katula tz 🇹🇿 :
swali langu hujalielewa au huna jibu nibaki nalo?..
2026-07-11 17:48:14
0
Ahmed :
Shuqran
2026-07-02 05:14:42
1
saidi tsui :
Masha Allah Mwenyezi mungu awahifadhi mashekhe wetu walipambana toka ni vijana
2026-07-02 15:30:54
0
hashim mohamed :
هذا هو شيخ محمد عثمان
2026-07-02 05:36:44
0
shureymu :
mashallah nimeshajua sehem yenye ukwel sas
2026-07-23 05:01:55
1
lean :
hawana dalili makhurafi
2026-07-01 21:36:34
6
ashuweiy :
Sheikh Ali Ahmed Bahero katika ubora wake.
2026-07-01 14:10:04
11
jibrilahmed212 :
ni ngumu kusupport bidaa.
2026-07-08 14:12:45
1
To see more videos from user @allianrhaule1, please go to the Tikwm
homepage.