@taqwamediamakambako: Hatimae Ostaz Juma Na musoma Akubari yaishe vita yake na sheikh Nurdin kishki #islamicreminder #update #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪
mashaAllah sheikh Qasim maftah mwalimu wangu Allah akuhifadhi pia Allah amuhifadhi sheikh kishki kipenz Cha watu
2026-07-01 14:29:23
31
Maulidi Mkassiwa :
ubarikiwe shekh Qasim maftaha
2026-07-04 20:18:33
3
Ummu Narmin :
Allah azidi kumpa nguvu na moyo sheikh wetu kishki na Allah amlipie kwa yote 🤲
2026-07-04 12:01:01
4
simba sharub :
Ushamuanika mwenzako mungu atamlipia inshallah
2026-07-04 23:12:36
2
Saada Nassor :
kimya ni jawabu tosha alhamdulilah
2026-07-02 05:22:13
5
Rasuri Rajabu :
hakika shekhe kasim ana hekma kubwa Kam ruqmaan mungu amzidishie kheri nyingi mno
2026-07-02 12:27:45
8
Rashid Mohamed :
nasaha nzuri kwa kila muislamu tujifunze sote kwa hilo. ustadh Allah barik.
2026-07-02 02:57:04
5
EYSHERC :
♥️♥️♥️mashallah ALLAH awapenda wenye kutubu ♥️♥️♥️
2026-07-04 20:29:01
1
ERICK_ADAM :
Bora kuwa answari wallahi masheikh wetu wanapotea sana,,,Sasa mtu kama kassim mafuta nilikuw namuona mtu WA ajabu lakini Leo nimegundua Hekma yake na Elimu yake katika dini 🙏
2026-07-01 17:51:13
11
Mimah bae :
Me nimempenda shehe wangu ukimya ni jibu tosha kwa mjinga