@jugo_media: "Kweli ni vema na haki tendo la kufaa na kuleta wokovu; tukushukuru wewe daima na popote..." . . Adhimisho la Misa Takatifu ya hitimisho la Hija ya WAWATA Kanda ya Mashairiki inayojumuisha Majimbo saba (7) ambayo ni:- Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Jimbo la Bagamoyo, Morogoro, Zanzibar, Tanga, Ifakara na Mahenge. MisaTakatifu iliadhimishwa na Padre Vitalis Kasembo, Mkurugenzi wa Utume wa Walei Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam terehe 28/06/2026 | Shule ya Sekondari Loyola, Mabibo Dar es Salaam. : : #jugomedia #injilikiganjanimwako #jugomedialive @jugo_media www.jugomedia.net