@festongadaya: Kuwa na bakteria huyu Helicobacter pylori haimaanishi una vidonda vya tumbo. Tafiti zinaonesha karibia asilimia 50 ya watu wanaopata maambukizi haya hawapati vidonda vya tumbo. Hii ni sehemu ya kwanza, fatilia sehemu ya pili kufahamu upimaji wake. #swahilitiktok #tanzaniantiktok #kenyantiktok #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿
Festo Ngadaya
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 10:59:09 GMT
Music
Download
Comments
Muller :
Well explained ever
2026-07-01 16:38:04
15
. :
Bonge la Afya 🙌
2026-07-01 15:16:17
6
NKUU INTERIORS AND FURNITURE :
Triple therapy
2026-07-01 19:35:06
0
pinnah :
wacha ni ku fallow kabisa 😂
2026-07-01 20:41:34
1
Amon Anatory :
asante
2026-07-01 15:46:09
1
Olaedo🍀 :
mwalimu doctor ndo huyu sasa
2026-07-01 20:27:44
1
Mnazi_FX💊💎 :
shule kubwa🙌
2026-07-01 15:25:02
1
Ibrahim :
hizi ndio content ninazopendaa
2026-07-01 19:13:56
1
MOBILE STORE MBEYA :
ELIMU BILA ADA🙌
2026-07-01 18:26:45
1
J Rasheed cosmas :
yaan nimekuelewa vzur sana bro. tiba yake vp Kaka
2026-07-01 19:13:18
1
Melanin popping💚♾️🇹🇿 :
Docta dawa yake ni nn sasa
2026-07-01 21:35:51
0
Bigboy_baraka☺️ :
Ngadaya unajua🙌
2026-07-01 20:30:31
0
i am mary :
asante kwa taarifa
2026-07-01 20:51:17
0
Said Said :
h waaaattt
2026-07-01 12:36:45
0
Ms Bee🌹 :
Wananitesa hawa wadudu
2026-07-01 11:03:51
1
Rose Temba :
bora hata umetuelezea vizur kuna doctor huko insta anatutishia kwamba ukiwa tu na hpylori u unapata cancer
2026-07-01 16:13:56
4
capt_karyn :
pyrol ndo nini🥹🥹😂💔
2026-07-01 20:13:31
0
Irene :
unaelimisha vizuri
2026-07-01 19:06:47
0
Fernandos :
kwahy ukikutwa na h.pyroli,dx inakuwa ni nn ?
2026-07-01 19:10:21
0
smart_plumber_girl :
Baba tupe sehemu ya pili. 🥺 kiingilio tutalipa
2026-07-01 20:21:04
0
sharukhan 911 :
Mi naomba dawa kwa kweli wananitesa
2026-07-01 20:06:02
0
John Gates :
Ngoja nimuite doctor wangu aseme kitu @Dr. Noel, MD
2026-07-01 18:02:22
0
Ellen :
🔥🔥
2026-07-01 15:44:07
1
Lizzy Emmanuel557 :
💯
2026-07-01 18:14:10
0
To see more videos from user @festongadaya, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.