@sautitv9online: ⚖️ LEO DODOMA Leo shauri linalomhusu Tundu Lissu linatarajiwa kusikilizwa jijini Dodoma. Je, unatarajia nini kitajiri mahakamani leo? 🗣️ Toa maoni yako kwa heshima. 📢 Share chapisho hili ili wengine nao washiriki mjadala. 📲 Fuatilia ukurasa huu kwa taarifa zitakazokuwa zikithibitishwa kadri zinavyotolewa. #TunduLissu #Dodoma #Mahakama #Habari #Tanzania
𝗦𝗮𝘂𝘁𝗶 𝗧𝘃9 𝗢𝗻𝗹𝗶𝗻𝗲
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 11:13:19 GMT
Music
Download
Comments
laizer :
mungu yupo
2026-07-02 15:41:19
0
mjuni03 :
Mungu wetu simama mwenye haki
2026-07-01 12:22:08
2
Amos malambo :
atatolewa
2026-07-01 18:52:33
0
Francsi Damas :
amen ❤️
2026-07-01 17:46:38
0
MR V.JICHO LA TATU :
pole sana mh ipo siku ukweli wako utaonekana
2026-07-01 11:43:30
0
mpambanaji :
Mungu yupo na ss m4c
2026-07-01 14:53:25
0
Dominick bajumzi :
mungu yupo pamoja nawe
2026-07-01 13:13:12
0
mathayo :
atatoka
2026-07-02 09:14:07
0
HAWA MUSSA :
mungu simama tumechoka na manyayaso
2026-07-02 07:06:35
0
Tom Kamau :
Mungu kwa kupenda kwake aweze kuachiliwa.
2026-07-01 20:33:00
0
Yusuph Said :
walisha mshindwa wamuache tu
2026-07-01 12:05:51
1
mossesjulius681 :
wekeni tareh
2026-07-02 11:11:36
0
user1005081281082 :
kaka tolew t
2026-07-02 07:37:50
0
Francesco Chearmoung :
haki ya watanzania ipo, japo inacheleweshwa. tunakuombea Lissu.
2026-07-02 06:58:48
0
Merry Riziki :
utatoka baba.bado hatujakata tamaa bado tunasubiri uje na tunaimani utavuka SALAMA.ipo siku tutasherekea ujio wako watanzania tunakupenda sana 💪💪💪💪✌️
2026-07-02 14:32:44
0
𝕖𝕝𝕚𝕤𝕙𝕒❤❤✌✌ :
✌✌✌
2026-07-01 14:25:45
0
Professor silence :
🥰🥰🥰
2026-07-02 06:41:53
0
To see more videos from user @sautitv9online, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.