@festongadaya: Sehemu ya pili: Kipi ni kipimo sahihi cha vidonda vya tumbo na bakteria huyu anayeitwa Helectobacter Pylori au kwa kifupi H. pylori. Huenda hujaangalia sehemu ya kwanza hivyo unapata shida kuelewa, anza na sehemu ya kwanza kwenye video zilizopita #swahilitiktok #tanzaniantiktok #kenyantiktok #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿