@mkulimaenterprises: TUNAUZA COMBINE RICE MILL MACHINE | INAKOBOA MPUNGA | INAPEPETA | INAGRADE MCHELE 📞 +255 658 375 861 📱 @mkulimasolution @mkulima_solution 🕖 Muda wetu wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku (7:00am – 11:00pm) 📍 Ofisi zetu zipo Tegeta – Dar es Salaam — COMBINE RICE MILL MACHINE ni mashine maalumu inayofanya kazi mbili kwa wakati mmoja: ✔️ Inakoboa mpunga kuwa mchele ✔️ unapepeta mpunga ✅ Uwezo wa uzalishaji: KG 150 kwa Saa ✅ Inatumia Motor ya Single Phase (inafaa kwa umeme wa kawaida wa nyumbani) ✅ Inafaa kwa wakulima, wasagaji wadogo na wa kati ✅ Inarahisisha kazi na kuokoa muda pamoja na gharama — FAIDA ZA MASHINE HII: 🔹 Mashine moja – kazi mbili 🔹 Rahisi kuendesha 🔹 Inafaa kwa matumizi ya biashara na nyumbani 🔹 Imara na ya kudumu — 📍 Tembelea ofisi zetu Tegeta – Dar es Salaam au wasiliana nasi moja kwa moja kupitia: 📞 Call/WhatsApp: +255 658 375 861 — #combinericemill #ricemillmachine #koboampunga #kusagamahindi kilimobiashara mkulimasolution tanzania🇹🇿 tegeta mashinezauzalishaji MKULIMA SOLUTION | DAR ES SALAAM

Mkulimaenterprises
Mkulimaenterprises
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 11:31:36 GMT
22847
591
37
29

Music

Download

Comments

user962959614058185
rashma juma :
hii mashine Niya umeme au
2026-07-02 08:34:02
1
mkundapaicompany
Mp1companylimitedCEO :
njoo kwenye group la biashara ya mazao Tanzania ujifunze zaidi
2026-07-02 09:15:29
0
yanlusun0
yanlu sun :
kaka mashineiyo shingapi kk
2026-07-08 15:05:59
0
jacob.mede
Jacob Mede :
namba plz
2026-07-04 09:24:52
0
drerick_0747460483
Dr erick :
bei
2026-07-06 15:42:11
0
volcano.tz
volcano tz 🌍 :
nitumie namba yako
2026-07-01 11:49:02
1
iddiomary22
Navigator 👮‍♂️ :
mashine beigani hii
2026-07-02 15:24:58
0
eustacemajura2300
Eustace :
leta bei yake
2026-07-03 04:00:26
0
user3769181045333
Yuda elias :
boss uko wapi
2026-07-03 20:15:50
0
mlema.jackson
mlema jackson :
namba kaka nahitaji
2026-07-02 04:32:06
0
tishi.kihongosi
TRIPLE D :
tatizo spare zipo na mafundi hapa bongo wapo
2026-07-02 14:46:44
0
nashonnorbet2
nashonnorbet :
kwa nn asife mke
2026-07-07 11:06:11
1
realrammy1
realrammy1 :
bei gan hii
2026-07-02 16:30:00
0
kanega4
KANEGA :
we inqkuhusu nini ongelea biashara sio maisha ya mtu
2026-07-01 17:48:13
1
user506710505471
ntanyaruka :
naomba kujua ni 6N-50 na inakonoa Tani ngapi kwa siku?
2026-07-09 13:11:09
0
mrtellytza
David Telly :
weka bei bro
2026-07-03 10:24:53
0
mlema.jackson
mlema jackson :
unapatikana wap
2026-07-02 04:32:25
1
volcano.tz
volcano tz 🌍 :
nahitaji hyo
2026-07-01 11:49:10
1
nufais999
Al-nufais :
acha kututisha,
2026-07-01 13:44:43
0
elisonezekie
Elison Ezekie :
tupe bei
2026-07-01 20:59:06
0
chatmathorm
Chatma Farm :
Mna mashine gani nyingine?
2026-07-04 17:14:50
0
vincentmachine0
Vincent Machine Enterprises :
nahitaji hiyo
2026-07-01 18:28:17
0
.felixtweve
Felix Tweve :
Mzee wangu anayo ihahi ila changamoto Haina feni ya kupuliza uchafu
2026-07-02 04:23:59
1
user19114925232775
nkinda tz :
nikitaka kuwapata mnapatikana wap?
2026-07-03 18:07:26
0
kibwanaa
idriss kibwan :
bei kaka
2026-07-01 22:31:52
0
To see more videos from user @mkulimaenterprises, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About