@cawabemedia_: Mwanadada Hamisa Mobeto ameshare katika ukurasa wake wa instagrram cideo ikionyesha gari lake aina ya G WAGON ikiungua na moto mkali sana. pia mwanadada huyo ameandika ujumbe mfupi katika caption akisema "Kabla hujaendelea na siku yako… jiulize swali moja tu. Upo Salama? Life happens 🥹🥹" unahisi Hamisa Mobetto ana maanisha nini?? ✍ @brazamento_

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 12:24:47 GMT
30006
627
21
18

Music

Download

Comments

hcasmir.joshua.nd
hCasmir Joshua Ndege :
ai
2026-07-01 22:13:20
0
milka.steven8
Milka Steven :
taarifa mheshimiwa
2026-07-01 16:25:45
4
mimmer.dimpy
Mimmer Dimpy :
msiseme n content
2026-07-01 16:53:03
0
user7299819654254
user7299819654254 :
So kwel
2026-07-01 16:25:08
3
user7238577801511
johary 👄💗💖ks :
ivi awa wanaoyafanyaga haya wanawazag nn jmn eeh mungu mlinde na ujithihirishe
2026-07-01 18:46:51
1
salhat75
salhat :
AL MANINAA
2026-07-01 20:13:33
0
sadamohd92
sadamohd92 :
Kuna nyimbo mpy au?😂😂😂
2026-07-01 20:11:22
1
kidege.automotive
𝕊ℍ𝔼𝔹𝕐 𝕂ℍ𝔸ℕ🇹🇿 :
AI
2026-07-01 16:10:17
0
nasreem.manji
🍀💕😍 :
ni AI
2026-07-01 17:11:52
0
novanova184
Nova 🐬 👑🥰 :
tangazo
2026-07-01 12:52:06
0
dullah.mashine
Dullah mashine :
washamba nini
2026-07-01 18:20:43
0
user87935156013615
xanurath 🌺🌱 :
Al 😅
2026-07-01 15:12:38
5
user8077321735748
Roda twinie :
tangazo ilo😁
2026-07-01 17:05:35
1
john.m.ctz99
JO Sky Tz :
Soma kwa chini video imetengenezwa na Ai maana Tiktok wanaonesha videos za Ai
2026-07-01 21:10:02
0
at.saly7
it's Sally🥀🦋 :
mtu anapata nguvu ya kurekod anasahau kumsogeza asikae karibu na hiyo gari
2026-07-01 19:10:01
0
user2987169517157
[email protected] :
na huyoo anae chukua video alikua gar itaungua
2026-07-01 18:36:27
0
user2987169517157
[email protected] :
jaman mapicha picha yan hapo hua inapaki gar Moja tu hakuna zinginne hahaha
2026-07-01 18:35:07
0
ss_i_love_you
Sophia :
Kiroho inayo mwazia mbaya huyu dada na kemea kwa jina la YESU
2026-07-01 17:56:23
0
lwalay07
Aishalwalay🥰💫 :
anatangaza bima huyoooo
2026-07-01 21:14:11
0
bm_quality_decor
BM_FURNITURE🇹🇿 :
@BLESSED_FURNITURE
2026-07-01 12:29:13
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About