hujataja wa jimbo la Moshi Ludovick Minde ata ivo umejitahidi sana hongera sana🥰🥰
2026-07-01 20:35:47
21
love :
Moshi na Dodoma umesahau. ila Hongera umeweza
2026-07-02 09:41:58
6
Catrina njalamoto :
mwaya hongera sana
2026-07-03 23:00:30
0
mbwilo Electric cont :
kiukwel mimi namjua NYAISONGA TU!
2026-07-02 09:25:37
5
daros :
mimi namjua Ruzoka tu
2026-07-02 09:53:54
5
Eusebius Tryphone Bilago :
Waaaaaao hongera kijana wetu kwa upeo wako mkubwa ktk utambuzi wa viongozi wetu wa KIROHO naamini upeo wako ni zaidi ya kipaji endelea hivo na Mungu akubariki
Mapendoo wakatoric wenzangu tuliosikia Waasham maaskofu wa jina langu EUSEBIUS KIANDO NA EUSEBIUS NZIGIRWA wakitajwa mara mbili like hapaa ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2026-07-04 07:26:09
5
MAMY JOX :
inasaidia nini?
2026-07-01 17:41:13
3
misty :
u
2026-07-02 05:16:40
0
lancia kahema :
umekosea askofu wa jimbo geita flavian kasala hongera kwa kujalibu
2026-07-01 18:21:39
9
marry lady :
hongera ila askofu WA bukoba sijamusikia
2026-07-02 06:01:24
0
Magdalena Silvestar :
duuuh ,hongera mdg angu ukasomee utawa
2026-07-03 14:09:21
0
clementselelwa :
mimi simjui hatya askof wangu
2026-07-02 07:22:53
1
Bint Audax :
hongera Sana mungu àzid kukutunza
2026-07-02 13:09:15
0
rocious :
Dg yupo vzr
2026-07-01 17:32:56
4
furaha :
hongera mtoto uko vizuri Mungu akubariki
2026-07-01 17:57:34
8
QueenJ :
Hongera sana barikiwa sana mdogo wang Mungu aendlee kukulinda na kukuepusha na mabaya yote🥰🥰🥰
2026-07-01 20:32:59
6
Elizabeth Msukwa :
timu nyaisonga like hapa
2026-07-02 06:28:18
3
Jescardavid :
mtot hongera ap kweny nyaisonga na msombaa umenikosha
2026-07-02 11:01:36
2
joyce💫 :
hongera sana utoto mtakatifu hakika ni malezi
2026-07-03 16:21:27
1
girosemartin :
hongera mungu akutunze
2026-07-02 09:23:23
1
khadija hamis :
hogera sana, mapendo daima sana
2026-07-03 15:07:29
1
jescarmichael498 :
ongera sana,ujamtaja wa Dodoma
2026-07-02 04:43:39
0
Shung’shung :
🥰
2026-07-01 21:05:13
1
Baraka Shirima :
kwaiyo Moshi amna askofu
2026-07-02 06:58:11
4
msafwa_toleo_jipya :
nampataje jamani nimpe zawadi ikiwa mm nimezeheka namjua asikofu wangu tu
2026-07-01 21:00:11
4
To see more videos from user @come.tv.tanzania, please go to the Tikwm
homepage.