@sheikh_kosonso.official: MTU AKILIA NA MOLA WAKE KWA SABABU YAKO, JIANDAE NA MAAFA MAKUBWA | SHEIKH AMIR KASONSO #kasonso

Sheikh Amiri Kasonso
Sheikh Amiri Kasonso
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 15:05:00 GMT
229878
15709
203
2271

Music

Download

Comments

saumukaisi
Mkorea :
jirani yangu huyo hasda sana fitina sanaa🙌
2026-07-02 05:19:32
47
aminajuma766
aminajuma766 :
Yaa Allah tuondolee hii tabia
2026-07-01 15:57:02
13
charming9978
charming :
ALLAH atampa kinachostahili kwa yote aliyotufanyia ubaya wake katika familia yetu AMMIIIN 🤲
2026-07-01 16:17:53
52
shufaashomary
Shufaa Shomary :
mungu atuepushie na watu wabaya
2026-07-02 10:57:39
23
fettys.bakery
Fetty’s Bakery :
Yarabi nijaalie subra kwa yote 😭😭, kwa yote yanayo niandama hakika unaujua Moyo wangu 🤲🏻
2026-07-03 09:44:46
19
mafix.sha
Sha Fik246 :
Mashallah, well spoken 🥰
2026-07-02 12:51:39
5
user486944407434
حمدان المعمريaisha msangi :
Allah atuongoze InshaAllah
2026-07-02 04:40:12
7
agatha8420
Cute Agatha😘😘 :
Allah atalipa kwa hili
2026-07-02 11:00:49
12
njoki.faith2
ጕጎ ዘሁክልል :
Mungu naomba tafadhali umuongezee miaka ya kuishi hapa duniani huyu (sheikh)🤲🏽 Endelea kunipa nguvu. ipo siku Mwenyezi Mungu atanipanguza machozi yangu. nimelia ya kutosha!!!
2026-07-02 05:18:48
25
sherry.nyange
sherry nyange :
mungu nilipie wanaoniandama Kwa uzushi ,hakika moyo wangu unaujua yarabi
2026-07-03 09:03:58
6
esther.ngussa
Esther Ngussa :
Umejua sana tunayoyapiti
2026-07-01 18:38:43
10
abuu_ruhayma
Abuu Ruhaymah :
Karibu kwenye ukurasa wangu kwa elimu na mawaidha ya Kiislamu. Nifollow.
2026-07-02 09:41:28
6
user48377761181970
baby zeenat :
kabisa InshaAllah namuomba Allah anilipie
2026-07-02 04:14:25
5
user9492391135811
user9492391135811 :
kweli wallah....Mwenyezi mungu atuepushie na washari..wazushi..na wazandiki. .
2026-07-02 04:32:56
9
fridakyomile
Frida Kyomile :
sirudii
2026-07-17 11:57:01
0
zahararamadhan699
zahara :
subhanallah
2026-07-03 05:13:29
2
maliampaschal146
Maliam Paschal :
Amen
2026-07-04 09:31:24
2
peter_m54
peter :
Amen 🙏
2026-07-03 11:55:17
2
abdkgkkfkf
nyakunde :
nikweli
2026-07-02 09:39:55
2
user9126581941658
sharks :
Jirani jameni kila wakati nikikuona nawaza kitendo ulicho nitendea nyinyi watatu aky Mungu awaongeze zaidi mm nikose nyinyi mpate 😭😭😭😭
2026-07-09 15:56:07
2
joycekasunga
joycekasunga :
Ameeeen
2026-07-02 16:57:26
2
isha878683234963
Aisha black :
Yaaa allah tulinde na ulimi wetu tusinenemabaya😭😭🙏
2026-07-10 12:15:49
5
inosensia.sylvest
Inosensia Sylvester :
hakikaaa
2026-07-02 09:11:57
3
babysis198
Miss $😌🤌🏽 :
Allah atuepushe na watu wabaya wallahi daaah😔💔wanatumiza sanaaa ila basi tu hatuna cha kuwafanya ni Allah pekee🥹🤲🏻
2026-07-15 19:48:39
4
user7367793956270
abdalla munye :
yes please 👍
2026-07-04 09:57:38
2
To see more videos from user @sheikh_kosonso.official, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About