@abdul_tyga__99: Mnamo tarehe 30 Juni 2026, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Chaani, Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud , alizindua rasmi Programu ya Kuimarisha Elimu Jimbo la Chaani katika hafla iliyofanyika Chaani Masingini. Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Lela Muhamed Mussa. Hafla hiyo iliwakutanisha wananchi, wadau wa elimu na viongozi mbalimbali, ikiwa na lengo la kuendelea kuimarisha sekta ya elimu na kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa wanafunzi katika Jimbo la Chaani. #fyp #TrendingNow #zanzibar🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #photographymagic