Kama unaamini mshkaj kaongea point gonga like hapa
2026-07-02 06:09:52
315
jovery. :
mxhkaj anakitu huyu❤️azingatiwe
2026-07-01 18:17:25
211
user1700670993144 :
kyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
2026-07-02 07:05:32
6
Bwede Tz :
upo sahihi kak umeongea kitu
2026-07-01 20:47:08
52
iam_sao :
Kwani yanga ndo timu pekee ambayo ipo Kwenye ligi?
ligi inashuka kwasababu ya performance ya timu zingine kushuka na siyo timu moja inayoweka kushusha kiwango cha ligi!
2026-07-01 18:43:43
31
Mr fonce 👑 :
mkuu ligi bora haipimwi kwa performance ya timu moja tu ligi inapimwa kwa competition iliyopo kwenye ligi nzima na performance ya kila timu ndani na nje ya nchi.
2026-07-02 09:51:54
13
Beast Jr :
Nakubal kak umeongea point
2026-07-02 09:30:45
10
Observer :
Hili kamaa senge kweli. mwaka 2022 ligi ilikuwa namba 5, ikapanda mpaka namba 4 mwaka 2024 na sasa imeshuka
2026-07-01 18:07:02
20
mr nobody _07 :
apo uakika 😎😎
2026-07-02 06:04:16
8
Yolamu Katanzi :
daa jamaa anajua sana
2026-07-02 07:39:03
10
Simon Matonange :
ilikua ya nane
2026-07-02 07:00:09
9
ndojime :
That's EXACTLY Broo 💯
2026-07-02 06:58:58
4
novath yosia h :
Daah ila kweli aise
2026-07-01 17:00:22
18
tangol :
fact sana
2026-07-01 18:29:29
4
LEE🦁 :
fact bro
2026-07-02 18:37:55
1
@لُقْمَانَ :
perfect 👍
2026-07-02 07:50:42
2
Jay Mapesa :
unawaza mbal sana
2026-07-01 18:28:02
24
@Pajelo 📸 OLEMANI 🍒 :
nikweli kabisa brother wangu
2026-07-02 04:12:17
9
chile boy tz :
nimekuelewa sana broo
2026-07-02 08:07:33
5
Farida Bakali :
kwely kk
2026-07-01 18:40:03
6
michu💫 :
umesema kweli kak
2026-07-01 18:52:05
9
Jonathan@26 :
Ila mahaba yanawatesa watu
2026-07-02 12:33:37
0
amedeusabdul :
ushindani kimataifa umepungua tim azifanyi vizuri kimataifa mbn jibu nijepesi sana unashindwa nn kuelewa apo
2026-07-02 16:09:35
1
To see more videos from user @kamtu_tv, please go to the Tikwm
homepage.