@mshindo_tv: —Kuanzia Leo Tarehe 1/07/2026 Katibu Mtendaji Wa baraza la Sanaa Ndug; Juma Chum Juma Ametoa Tangazo la Marufuku ya kupigwa kwa Muziki Mitaani Maarufu kama Rusha roho. marifuku hiyo imekuja mara Baada ya hivi karibuni kuonekana kwa video mjongeo (Video Clip) iliyosambaa katika Mitandao ya kijamii ikionesha kundi la vijana wakipiga na kucheza Muziki kinyume na mila silka na utamaduni wa Mzanzibar na huku wakiwa wameshikilia mapanga jambo ambalo ni hatarishi kwa usalama wao na wananchi wengine.

Mshindo tv
Mshindo tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 13:28:13 GMT
82491
2128
295
498

Music

Download

Comments

tuma.bby192
tuma bby :
hapo mumeongea hongereni sana marufuku marusharoho zanzibar hongereni sana
2026-07-01 17:45:03
117
mohd.massoud4
Mohd Massoud :
umefanya jambo la maana sana watu wanacheza uchi mbele za watoto
2026-07-01 18:59:42
34
haruna.omar5
Haruna Omar :
asante
2026-07-02 06:28:30
1
user9597543615790
jina Mandela :
allha akulipe kher wewe ulotangaza hili
2026-07-01 14:16:17
74
iamukhtar_
iamukhtar_🇦🇺🇺🇲🇨🇦🇯🇵✈️🛩 :
Safi walau ndugu zetu watalala
2026-07-01 16:50:56
10
sayyedmiskir
Kombo Ali Machano :
Vizur sana tena hizi tarifa ziwafike masheha maana wao ndio wanatoa vibalii
2026-07-01 14:19:01
30
mzeejuma978
Shankar :
la maana hamfanyi
2026-07-02 02:59:46
4
hb.omy5
Hb omy :
safi sana tunataka na baa zote zilizo karibu na makaazi ya watu zivunjwe
2026-07-01 15:22:12
32
altiwany98
Altiwany :
safi kabisa mkuu
2026-07-02 11:23:22
1
user8387434027052
Bravo 38 💯 :
nchi ngum sana hiiii
2026-07-01 22:55:34
4
user8606712930637tiktok3
Ashleylove :
Safi sana Allah akulipe kwa hili
2026-07-01 20:33:09
11
ladyruu2
ladyruu2 :
safi kabisa
2026-07-02 06:38:03
1
kautharyahya601
lumpa :
alhamdlilah
2026-07-02 06:10:59
1
donimsesa4
user457478645775 :
Saf san
2026-07-02 05:39:42
1
salhayux88o
Sasha :
sio kwaubaya Nimefurahi sanaaa
2026-07-01 18:53:15
5
tuma.baby334
TUMA Baby :
mashllh
2026-07-02 08:02:38
0
prity2318
zuu :
woyooooooo im so happy 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
2026-07-01 18:39:54
1
user7644171731416
twens💞 :
mashallha hongera kajuma
2026-07-01 17:00:06
1
ayoubkhatibu
MBUYU :
safi sanaaaa m.mungu akupe afya njema bado pombe mabaa yaliyo karubu na makaazi ya watu kama ni hivyo sio jambo zuri pia basi angalau wakalewe kwenye makambi
2026-07-01 14:41:52
5
abdilahally816
Abdilah Ally :
masha Allah Allah akuchague kama alivyowachagua waliopita katika njia iliyo nyooka.
2026-07-02 07:04:12
4
hashimminyi
Hashim Mwinyi :
uhkika
2026-07-02 04:26:12
1
mohamed.bungalows5
Mohamed Bungalows :
SAFI SANA
2026-07-02 05:24:30
1
munasuleyman2
Bombom :
Allahuma barik 🙏
2026-07-02 04:38:45
1
washawasha016
WASHAWASHA :
safi kabisa
2026-07-02 06:06:18
1
myyy2195
myyy :
Hiiii nimeipenda 😂😂😂😂
2026-07-01 21:17:29
2
To see more videos from user @mshindo_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About