@vitarcaretz: 🚨 "Unaweza kuwa na Hepatitis B kwa miaka bila kujua!" Watu wengi hugundua Hepatitis B ikiwa tayari ini limeanza kuathirika, kwa sababu mara nyingi ugonjwa huu hauna dalili za wazi mwanzoni. ⚠️ Usidanganywe na kujisikia mzima. Ini linaweza kuendelea kuathirika kimya kimya bila maumivu makali. Sababu zinazofanya watu wengi wasigundue mapema: ❌ Hawana dalili za mwanzo. ❌ Dalili zikitokea hufanana na uchovu au mafua. ❌ Hawafanyi vipimo vya Hepatitis B mapema. ❌ Husubiri maumivu makali ndipo watafute msaada. Hatua muhimu: Fanya kipimo mapema na pata ushauri wa kitaalamu. Kugundua mapema kunaweza kusaidia kupanga ufuatiliaji na matibabu yanayofaa. 📲 Wasiliana: +255 776 740 443 Andika "HBV" kwenye maoni au nitumie ujumbe upate maelezo zaidi. Afya ya ini lako ni muhimu. #creatorsearchinsights #LiverCare #AfyaYaIni #foryou #villl