@queen_healthtips: Prednisone ni dawa muhimu kwa baadhi ya magonjwa, lakini matumizi yake yanahitaji uangalizi wa mtaalamu wa afya. Usitumie au kuacha dawa hii bila ushauri sahihi. #QueenHealthTips #Prednisone #ElimuYaAfya #PharmacyTips #creatorsearchinsights

Queen_healthtips
Queen_healthtips
Open In TikTok:
Region: ZA
Wednesday 01 July 2026 13:54:44 GMT
35849
332
13
29

Music

Download

Comments

masimbusiglowandfashion
Zahara Masimbusi :
Dawa nzuri sana hii kifua mafua kwa mtoto hadi mtu mzima🥰 tunaikubali vipi😅
2026-07-01 20:30:12
4
happymu1
H🥰 :
😭 jamani Mimi Nina aleji kila siku usiku lazima nimeze ndo nilala uwiiii jamani
2026-07-01 14:53:47
1
mamaabdul35
mama abdul :
mm ndio siwez kukosa kwenye pochi yangu
2026-07-03 16:03:43
0
user3154355193096
user3154355193096 :
niliktumia muda wa miezi 3 ndio nikawa sawa na nichungu hatari ila ipo vizuri sana kwenye kutibu kifua na asthma
2026-07-01 23:05:17
2
neema147
neema147 :
kesho namaliza dose yake, nilipata mzio mkali nimetjmia jwa usahihi imenisaidia
2026-07-02 17:13:46
2
user3410250428184
Diana :
Ila unajifanya unaenda kukojoa kila saaa
2026-07-02 20:52:41
1
user82269734101366
manka :
mm mafua kila siku lazma nitumie hyo ndo nipate ahueni
2026-07-02 16:15:09
1
dr_marybeth.mnkeni
Dr Marybeth Mnkeni,MD :
@
2026-07-02 18:31:45
0
To see more videos from user @queen_healthtips, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About