@kanikibrown: Aliyekuwa dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, John Heche amekutwa akiwa amefariki ndani ya nyumba ya kulala wageni mkoani Kigoma asubuhi ya kuamkia leo Julai 01, 2026 huku Jeshi la Polisi likiendelea kuchunguza chanzo cha kifo hicho. Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma SACP Filemon Makungu ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kufuatia kifo hicho ambacho kimetokea gafla na kwamba aliyefariki amefahamika kwa jina la Suezi Dani Maradufu. Watafute @lecainvestment_dodoma .......................................................... #WEWENIFAMILIA Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kaniki_brown “Endelea kufuatilia #Ripotawahabarizamikoani kwa taarifa sahihi na za uhakika. KWA MATANGAZO YA BIASHARA NA HABARI Follow kwa updates zaidi. Kuwasiliana 📞 0622 732 287 #kanikibrown”

Kaniki Brown
Kaniki Brown
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 14:02:15 GMT
51694
1167
12
54

Music

Download

Comments

felisianatemba
felisianatemba :
jamani
2026-07-01 17:09:13
1
msemakweli50
HI WILL :
dah jamani
2026-07-01 19:13:11
0
suzydavis683
suzy davis :
duu so sad
2026-07-01 17:22:30
0
shabanhussein121
Shaban :
polle heche🙏
2026-07-01 16:38:53
6
user9022429593839
manxuh morshi :
hiii kaz ya ccm tunajua
2026-07-01 17:38:46
5
doctorb71
doctor*b :
7/7
2026-07-01 19:34:41
1
jeniferkaiza8
jenifer kaiza :
labda alikuwa na presha au kisukari akazidiwa usiku akiwa pekeake akakoaa msaada
2026-07-01 18:59:21
1
user9444229658188
madalaka :
hecheporesana
2026-07-01 18:48:25
0
collinsfrank28
collins :
sacrifice
2026-07-01 15:22:53
0
salumnassor210
salumnassor210 :
RIP
2026-07-01 18:19:01
1
peaceabesiga
Peace Abesiga :
jamani kwanini raia tunapenda kujiamlia mambo
2026-07-01 14:29:41
2
doctorb71
doctor*b :
😭😭😭😭
2026-07-01 19:34:47
0
To see more videos from user @kanikibrown, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About