@talented_74: Mapema leo 01 julai 2026 baraza la Sanaa lapiga marufuku shughuli za upigwaji wa muziki/ Rusha roho mitaani. Tamko hilo limetolewa mara baada ya video mjongeo zilizo samba mitandaoni zikiwaonesha vijana wakicheza huku wakiwa wameshikilia mapanga, jambo ambalo ni hatarishi kwao na kwa wanna wananchi wengine.
talented_74
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 14:05:04 GMT
Music
Download
Comments
mr.mzenji :
alhamdulillah jango'mbe tutapumua
2026-07-01 18:20:57
19
smash2552 :
Wahuni wa kizanzbar tuna mambo ya kishamba sana
2026-07-02 11:52:46
4
MAMASUU :
Hongera sana
2026-07-01 20:42:05
0
Adam Ahmada :
makofi kidogo
2026-07-02 04:50:55
6
Billat..Beauty :
Nimefurahi mno😅
2026-07-01 18:39:44
6
mamy luu :
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiii🙏🙏🙏
2026-07-02 10:40:15
0
ASTRO BOY :
Mweshimiwa Taarifa 👏👏👏
2026-07-02 12:27:03
0
Ummy Maheer🥰 :
Sihabaaaaa
2026-07-01 18:03:41
3
Mrs s :
kwarara mwishoo jna kdg 2tapata afuwen alhadulliha
2026-07-01 19:40:12
2
bolo young 102 :
makofi kidoogo
2026-07-01 18:10:52
2
Dyda :
Wakale wapi
2026-07-01 18:06:03
1
Saleh ismail Abdullah :
alhamdulilah allah awape nguvu
2026-07-02 07:08:46
1
Anasco🇹🇿 :
safii sanaa
2026-07-01 18:53:03
0
laylat94 :
Alhamdulilah boraa jamani maana
2026-07-02 02:32:52
2
zainab :
hivyo tumuogope mungu popote tulip Dunia tunpiit tu
2026-07-01 19:19:45
2
Aisha ali :
safiiiìiiii
2026-07-01 16:46:42
2
Aisha ali :
alhamdulillah
2026-07-01 16:46:46
2
zainabjumamselem :
Laila haillah🥰
2026-07-01 17:52:41
1
user5510258216010 :
yani hili lamaana sana
2026-07-01 17:35:55
5
sada :
bora tena safi sana
2026-07-02 05:30:25
1
halima28855 :
kwei asa
2026-07-02 07:05:29
1
Vampire :
safi sana upuuzi ushakuwa nyingi
2026-07-01 18:10:48
2
madam chau :
mmefanya vizuri sana
2026-07-01 22:10:16
1
ghost officials :
safi sana
2026-07-01 16:21:59
1
To see more videos from user @talented_74, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.