haya mambo ya kuzima speaker wakati wa swala ilianza saudia baada ya bin Salmaan kichukuwa uongozi.haipo ktk sheria ya dini bali ni ufalme ndio uliamuwa misikiti kuswalisha bila ya vipaza sauti vya nje.na ni wazungu wanaofanya Saudi ARAMCO ndio walipeleka malalamishi eti ni kelele na vile msaudi kwa muamerica ni kama mbwa kaona chatu.huu ndio ukweli wa mambo.na haya mambo yakianza mimi nilikuwa imamu wa msikiti mmoja Dammam.kuna wakati tunajigamba eti tunaiga saudia kumbe tunafata matakwa ya wazungu bila ya kujijuwa😢
2026-07-02 10:06:38
4
Diggy Ricco :
Ww kama sheikh si uwafate yanini utie kwenye mitandao nawewee umesoma dinii,wawadhslilisha wenzakoo nasisawaa
2026-07-05 08:37:18
6
user623292743473 :
skia shoga hili lajiona takatifu....yani hawa mawahabi kwa kuhukumu wenzao..utasema wao ndio mungu
sahihi fajir watu watano tu nyuma ya imam.
mispiker ya ndani na nje pia.
imam anaswalisha wamama nyumbani au.
jumaa jitu linasoma Quran mic utulivu unakosekana kwa wengine
2026-07-22 18:22:24
1
muhaa19801 :
ww kazi yko.kuwasuta mashekh tu huna elmu ingine elmu gani ww huna nasaha zingine ww
2026-07-13 04:31:22
3
إبن قدامة :
حفظه الله تعالى ورعاه شيخنا
2026-07-02 16:25:58
2
Alhamdulillah :
ustadh wewe ni chukiiii Huna mapya au mazuri saa zote makhurafi maulidi wewe ni mjinga sio jengine
2026-07-01 20:28:27
2
STRAIGHTS OF HORMUZ :
story za trump hizo
2026-07-17 16:31:31
1
kijasho :
huna jipya wewe malumbano tu
2026-07-01 18:24:19
1
hajj :
😳subhananllah
2026-07-03 16:59:24
2
alamin hajj :
ww ndiye unae peleka DINI na hamasa alosema ameonesha kua ikiwa MISIKITINI kuswali nasauti ya spika kwa dakika Tano pakakumi nifujo basi kwanza kakataze fujo ya kasablanka akimaanisha wale watumia masaa mingi ya fujo Wala HAJA fananisha msikiti na kasablanka jielewe ndugu
2026-07-03 03:50:38
2
MUHAMAD MUFT :
@MUHAMAD MUFT:Acha matusi shekhe ywaongea kitu kizuri na wala sio kibaya kumuudh jiran yako ni makosa so shekhe humeid Yuko saii kwa nini zama za maswahaba na mtume Akukua na maspika so wapinga nini
2026-07-20 17:36:03
2
mdutch :
kelele ndio munazupenda munweka maspika tena manafanya kisud kukera wenzanu miskiti yenu munafungua maspika kwa saut kubwa .
2026-07-11 11:02:17
1
Juma27 :
wewe wapenda kupeleka dini na hamaki kweli... unashida wapenda kufuatwa lazima
2026-07-10 16:24:52
1
فاصل :
hahaaa
2026-07-10 10:26:36
1
Abu khalda :
haikua busara kujenga msikiti pale pale kwasababu ule msikiti mkubwa ulikua kitambo kwahio hata Kuna ikhtilafu basi ungejengwa kwengine
2026-07-02 05:22:18
4
noordin maalim :
fitna tuacheni mitandaoni kwanini misikiti miwili hapa na hapa ama mmoja wa peponi msikiti mwemgine wa motoni ?
2026-07-01 19:36:08
3
moon :
sasa ikiwa msikiti ni mkubwa kwa nn ujengwe msikiti mwengine.kisa ni msikiti wa makurafi?kwani haya maulidi mnaifahamu vp?mbona mwaifanya mawlid ni kama shirki?
2026-07-22 20:54:00
1
"Mboma" :
Huo msikiti wa Sunnah umepata huo msikiti wa Makhurafi hapo kwaio kama ni issue na kusikizana wakati wakusoma Quran basi ule msikiti wa Sunnah hungejengwa pale but anyway naona sahii nikama hauko tena coz kulipitishwa barabara hpo
2026-07-22 20:01:55
0
Diggy Ricco :
Ebu tulieni mashEkh wengine hamna subraa na wenzenuu
2026-07-05 08:38:09
2
STRAIGHTS OF HORMUZ :
huo mdogo sio mskiti bana
2026-07-17 16:29:40
1
To see more videos from user @abufafiassalafytv, please go to the Tikwm
homepage.