@vipodozidaressalaam: USIKOSE OFA HII ✨ Kuanzia leo mpaka tarehe 7 July, Rockcity Cosmetics tumekuwekea ofa ya bidhaa za urembo utakazozipenda. 💕 Ni muda mzuri wa kununua skincare, body care, makeup na manukato kwa bei nzuri zaidi. Njoo dukani ujionee mwenyewe, chagua bidhaa zinazokufaa na ondoka na glow yako. 🛍️✨ 📍Ubungo Terminal, EACLC Mall, Ghorofa ya Kwanza 📞 Piga simu: +255 650 300 500 #goviral #fyp #SkincareTanzania #tanzaniantiktok🇹🇿