@st_johnpaul_kibangu: Haikutosha wimbo mmoja tu tukiwa nje ya kaburi alipozikwa Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli aliyekuwa Raisi wa awamu ya tano ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, bali tulipata combo hii tuliyoipenda sana Mpiga ngoma wetu anafurahia sana nyimbo zenye miondoko ya namna hii☺️ Tafadhali endelea kutembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii yaani Instagram, Facebook na TikTok kujionea yaliyojiri kwenye ziara zetu mbalimbali Tumewamiss tayari ndugu zetu wa Chato #catholic #viral #savethedate #kwayakatoliki #tanzaniantiktok🇹🇿 @annag tarimo @Ester Vicent @Geet1love♥️ @miss lee'🥰 @Ms Mary @Mr.Kasuti @Emmanoela @marie Magdalene @lighter 🔥🔥 @Ms_Cattie🦋 @Big_Mkatoliki @black winny @The Black Tenors @celinagabriel @Nesta_🦋🎈 @sophie ❤️ @Anna Msumange @@mworiadigna @reneyy🥀 @🥰anny anny🌹🥰 @Beatus93 @mt.yohane.paul.vikindu @Arati @phina @🎹Francis_Kamaka @PhilipoMkatoliki @phineh @jacksonpetermnebw @Kifigo @Stev B