@ocman.bey: 🔰 Taarifa Kuhusu Mchezaji wa Yanga - Pacome Zouzoua #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko

YANGA FANS
YANGA FANS
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 15:16:13 GMT
367727
34220
930
308

Music

Download

Comments

jeniphaeliasi277
jenipher :
Nahamia yanga kwanzia leo naangaria like zikiwa nyingi nipeni saport sasa wana yanga💚💚💛💛💛💛
2026-07-02 09:14:36
258
nancy.kivuyo
Nancy kivuyo :
Au nihamie tu yanga 😭😭😭💔💔
2026-07-02 06:33:08
116
user2154720340738
MD boy :
Get quickly recovery jombaa
2026-07-02 18:05:38
0
particular131
Particular🏷 :
wanao amini mwamba anapona na anaendakua mzur zaidi 🙏🙏
2026-07-02 15:11:02
58
mhinaflo180
mhinaflo180 :
Mungu wetu ni mwaminifu sana, atafanya wepesi na atatenda kwa Pacome aweze kupona haraka, Amen 🙏
2026-07-02 04:43:39
103
graceraymond15
graccy :
duuu kweli mimi ni mshabiki wa simba ila kwa hili limeniuma sana ila mungu ata kuponya
2026-07-02 08:49:37
41
user5852935417003
angel 2661 :
pole sana pacome utakua sawa
2026-07-01 16:08:48
54
tunda3849
tunda :
pole ewe ambaye n kipenz Cha weng,,,MUNGU pmj nawe utapona utarejea kwenye ubora wako,,,nakupenda🙏
2026-07-02 06:19:32
19
lizbeth48547
Queen_of_the_jungle👑👑 :
pole sana kipenzi cha yanga wanasimba tunakuombea upone wepesi
2026-07-02 14:50:08
8
linah.singo
Abbys mom :
My favrt player Get well soon bro.
2026-07-02 04:27:50
6
official.rk3
official Rk :
Get well soon el professor Zouzoua
2026-07-02 14:46:16
2
amanikenleekalomb
Amani kenlee Kalomboka :
Jehovah akulinde PAKOME katka jina la yesu 🙏🙏🙏 Mfalume wetu Wana nchi 💛💚💛💚
2026-07-02 07:47:40
6
leilaissasariko
leilaissasariko :
pole sana mwenyezi mungu akufanyiye wepesi upone kwa haraka
2026-07-02 08:52:12
7
user6787555571973
user6787555571973 :
pole sana mungu akufanyie webesi upone 🥰🥰🥰🥰
2026-07-02 06:21:33
8
aminamussasabri
Amina mussa :
Allah akufanyie wepes upone🥰🥰🥰🥰
2026-07-02 06:24:53
7
saidmatabi
saidy :
muweke mungu karibu utapata faraja ya araka na uponaji wa araka😩😩😩
2026-07-01 16:36:11
11
mwanaidy.msuya4
Mwanaidy Msuya :
follow me back
2026-07-02 19:55:15
0
mimmer.dimpy
Mimmer Dimpy :
get well soon kaka
2026-07-02 04:59:53
1
babaj869
BABA J :
Pole sana shujaa wetu mungu yupo pamoja nawewe atakufanyia wepesi na utakuwa sawa na utarejea ukiwa imara zaidi profesa wa boli pacome zouzou🙏🙏🙏🙏
2026-07-02 08:28:30
5
user3123474254625
maria mausa :
jamn Mungu atufanyie wepes nyota wetu tunakupenda sanaaaaaaa
2026-07-02 18:37:24
2
mariamtui626
Maria Mtui :
pole sana pacome shujaa,baba,mfalme wa yanga
2026-07-02 19:14:52
4
faithjohn099
Fani :
asant mungu unaendelea vizuli
2026-07-02 08:27:42
3
joanita.jackson8
joanita jackson :
pole kaka tunakuombea kila siku kwa mungu upone
2026-07-02 08:02:53
2
vickyboniphas
Vicky Boniphas :
pole jamn pacome wetu mungu akuponye haraka
2026-07-02 12:55:43
4
keku615
keku💕 :
Mwenyezi Mungu ni mwema sana😍🥰💚💛
2026-07-02 04:33:49
4
To see more videos from user @ocman.bey, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About