Ya Rabbi aniondoleee tuu huu ukali, mengine yote Alhamdhulillah
2026-07-03 05:49:06
135
Mrs.Hassanati ❤️ 🔐 :
Ya Rabbi naomba unipunguzie hasira naomba unipe moyo wa subra na uvumilivu Inshaallah 🙏🙏
2026-07-03 10:37:52
47
Burhany....(Br7) :
Same things applies to marriage
2026-07-04 01:07:46
8
Sameer Ali-Shella Ward 2027 :
we need to download this video 🙏
2026-07-02 09:01:58
45
Fatima Mohamed :
Aslm alkm. Jamani sasa hamtaki tushare na sisi tueneze hii ilmu!! mbn Mwafunga tusidownload.?
2026-07-03 11:37:32
14
Adellajohn :
mie mskristo. lakini hili somo ni la wote hakika. nimelipokea. na nitazidi kujiboresha kwaajili ya watoto wangu. shukrani sana
2026-07-03 12:29:10
94
ummu aydah :
I wish I can save it
2026-07-02 22:02:29
7
Daubah hennah&makeup fashion :
nimekoma leo Asante babaangu
2026-07-02 08:44:48
17
sir dzole :
point noted ustadh
2026-07-03 04:51:46
8
mbarak breally :
shukran nimejifunza kitu Allah akupe umri
2026-07-03 17:49:08
6
ummu yunus :
nimejifunza ustadh wangu🥰
2026-07-03 10:42:18
8
Bin Buru :
Hizi ni Hazina za ulimwengu...Nampenda kw ajili ya Allah Sheikh
2026-07-02 06:26:36
9
MUUHPACHA_PIXELZ📸 :
An kupitia post hii naomba kusema wanangu wanabahat kubwa sana kua na baba kama mm😁🥰
2026-07-03 09:42:15
8
papaa :
hii ata kwawaname
2026-07-03 04:20:49
6
zulphy_1 :
shukran, mafunzo muhimu sana
2026-07-03 05:05:35
5
Mariam Saidi :
kumbe acha nibadilike
2026-07-02 11:10:11
6
Mechanicien Sans Frontier MSF :
Nilichapwa viboko kama mia mbili na baba mbele ya watoto darasa nzima ya watoto 70. Bila hiyo mimi nilikua nimeharibika , hilo kichapo kilifanya nitoke namba 31 hadi namba 12. Next time I was top 8 . That was a massive improvement courtesy of the strokes.
2026-07-03 14:18:43
7
ummu aydah :
nimejifunza kitu shukran babangu🥰🥰
2026-07-02 22:03:27
8
kibaby girl :
kweli kabisaa hata naona madam wangu akiongea na watoto wake exactly alivyosema Baba yetu
2026-07-02 17:35:01
5
bilalmusa :
amin
2026-07-04 06:58:23
1
umm Salim :
shukran jazakallah kheir
2026-07-04 08:39:26
1
happinessngowi😘🥰 :
this page is for me,thanks
2026-07-03 19:55:15
2
user3868530273105 :
MI MSATHARABU JAMANI
2026-07-04 05:18:33
1
New Lughy kid :
asante Sana nimejifunza kitu
2026-07-04 18:28:03
1
Muksin Likwena :
anaakili sana uyu mzee
2026-07-03 10:24:23
4
To see more videos from user @abdallahjusto, please go to the Tikwm
homepage.