mim nishapendwa na mwanamke maskini... ikiwa mim ni masikini zaidi kuliko yey ...alhamdulillah mwaka wa 5 huu tuna familia yetu na tunainuka pamoja kutoka kwenye huo umaskini...
2026-07-02 02:45:45
21
ms- mayra❤️🧕🧕🫂 :
mbona mnatusimanga hv jaman 😳
2026-07-01 18:18:27
23
Miss R :
liongooooho hilooooooooooooooohh
2026-07-02 20:09:29
0
S 💞💞 KHAN 💔💔🫵🫵🫵 :
sio kweli brother
2026-07-01 20:44:12
10
MR HANDSOME👿 :
uongo huo kabisa sio kweli nakataa nimeoa toka 2014 na nimeoa nikiwa Sina mishe yoyote na Familia yake haina chochote ila tumeishi pamoja kwa Amani na upendo mpaka leo tunaishi pamoja,
2026-07-02 07:36:10
4
rey qeen💞💞💞 :
Mbona Mimi nampenda mwananume wang kwa dhat
2026-07-02 09:38:43
5
Omari Daudi :
uwongo.huooo broooh
2026-07-01 19:15:38
7
Baomy :
acha niangalie comments tu
2026-07-02 04:56:25
0
Baby Abel :
sio kweli brodaaaa
2026-07-01 19:09:53
6
C͜͡A͜͡S͜͡H͜͡ T͜͡Z͜͡ :
fact broo
2026-07-02 08:21:40
1
roster ❣️❣️❣️ :
jmni sio wote mie mbna nampenda sana babe wang
2026-07-01 20:51:11
0
AGHA__ 🅱 🅾 🅱 the smash :
fact
2026-07-02 06:22:23
1
DARK ROCKY :
sio kweli Kama anajielewa
2026-07-02 10:34:09
1
dogo elisha@star☠️ :
sio wote
2026-07-01 19:57:55
2
barcky_ iddy :
sahihi
2026-07-02 03:43:47
1
Calvin :
kweli broooooo9
2026-07-01 20:40:25
1
Shamila mashamsham444 :
True thank you
2026-07-02 17:20:02
0
Mo💞 :
so wotee
2026-07-02 13:33:50
0
kushaha :
true
2026-07-02 02:31:27
1
Tellemingsango :
njaa
2026-07-01 20:56:49
1
Princesse :
kweli.
2026-07-01 20:46:27
1
esssy29rzk :
mmmh jamani hii siiamini kbs
2026-07-01 19:03:48
0
Baharia himself :
Umenena vyema bro
2026-07-01 23:41:01
1
mayney🥰🥰🥰 :
kweli
2026-07-01 18:41:42
1
Ammy9🦋 :
uongo uoh
2026-07-01 19:42:56
3
To see more videos from user @_____motivation0, please go to the Tikwm
homepage.