@cawabemedia_: uongozi wa timu ya jkt ulipokwenda kumtembelea pacome ambae jana alipata majera kutokana na kuchezewa rafu na mchezaji wa timu ya jkt wahabi leo amekwenda kumuona hospital na kumuombea dua ,pia pacome amepokea msamaha wa wahabi na hana kinyongo nae ilikuwa ajali na sehemu ya mchezo waendelee kushikama na aondoe hofu .

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 15:28:43 GMT
178030
19454
617
463

Music

Download

Comments

abbubakary27
abbubakary shomary💸🐇 :
KAMA UNA AMINI PACOME ATA PONA SEMA INISHA ALLAH 🙏👏🏾💪
2026-07-01 18:30:16
140
aishashaaban382
Aisha Shaaban :
Huo ndo utu unao takiwa kwenye maisha 🤲🤲🤲
2026-07-01 16:29:45
231
rahimgangii
Mr window upvc and alminium :
pole sana professional
2026-07-01 16:21:05
2
rehemamunga1
mimi :
Mungu akuponye haraka Pacome. Hongera sana WAHABI huo ndio utu Mungu akubariki na InshaaAllah dua imepokelewa
2026-07-01 16:14:05
119
bynah029
bynah🌹... :
mimi nimshabik wa simba ila kwa hili mashallah baraka llah lakum una roho safi mashallah
2026-07-01 18:31:07
34
mwanaisha.kichuna
Ayshers othman :
get well soon we love you Pacome😍😍😍
2026-07-01 18:44:53
11
user24669967062208
ndelwa :
mungu akujalie afya njema zizu
2026-07-01 17:23:48
31
homeboy6217
homeboy :
nimefurahi sana kuona hakuna negative comments zote zinampa pole bwana pacome na kumuombea kwa Mungu apone na arudi kwenye football salama❤️❤️❤️lkn mashabiki wa yanga hii ni darasa kwenu maana naona hata mashabiki wa simba hawajafurahi kwa maumivu anayopitia zouzoua, japo nyie mlifurahi pindi mwamba wa Lusaka alivyoumia mpaka mkawa mnarekodi video mnashangilia. jifunzeni kitu hapa🥰🥰🥰
2026-07-01 18:08:55
33
mwadawa.hamisi
Last born💞🥰 :
Ameen 🙏🙏inshaallah Allah amponye pacome 💛💚💛💚
2026-07-01 19:13:47
6
jacklin.erenesti
Jacklin erenesti Erenest :
pole sana kamanda mungu atatenda muujuza wake utapona
2026-07-01 16:35:38
17
user508773760237
ESROMU JOHN :
Kiukweli nimefurah sana kuliona hili jambo
2026-07-01 17:26:01
29
faza.boy1
FAZA BOY :
atapona ishaallha 🤲🤲🤲🤲
2026-07-01 17:12:32
6
roseuser65333088107415
Roserose :
mungu akuponye mpendwa pole sana kaka
2026-07-01 18:07:36
9
sulema.omari7
Princess🦋💖 :
Pole sana kipenzi chetu pakome mungu akuponye haraka
2026-07-01 17:10:39
11
kimaroprisiosa5
kimaroprisiosa :
Amina mungu atende yaliyo mema mengi zaidi kwako kupitia hili🙏🙏
2026-07-01 18:06:01
7
saumu.juma55
saumu juma :
Amin Amin Amin
2026-07-01 19:55:45
0
destiney_real
harriet :
Good is good he will recover🥰
2026-07-01 19:38:43
0
user73949760241364mdoe
hussen mdoe :
Amin Amin Amin Amin Amin 🤲 Amin
2026-07-01 19:48:10
0
nashprime0
nashprime :
hiyo safi sana kusameheana
2026-07-01 16:47:31
8
ramadhan.sagutang
Kaka yetu :
mtu mwenye utu Hongera sana napolen sana wana yanga
2026-07-01 16:51:19
7
user3503268221046
:H: :
@mimi:Mungu akuponye haraka Pacome. Hongera sana WAHABI huo ndio utu Mungu akubariki na InshaaAllah dua imepokelewa kwa yeye alisema tumuombe na atatujibu
2026-07-01 18:42:35
8
abdullrazac
Abdull razack :
Mashabiki wa simba sc pia tunakupa pole sana mungu atakusimamia katika hali hio utakuwa sawa ishallah
2026-07-01 17:11:25
10
user2965287181790
user2965287181790 :
hap hakun upinzan mungu akusaidie upune kw haraka 🤲🤲🤲🙏🙏🙏
2026-07-01 16:57:04
7
elicia3710
elicia🦁🦁 :
dahhhh 🙏🙏🙏🙏
2026-07-01 16:26:20
2
petermolell868
Peter Molell :
mungu akuponye kwa haraka sana
2026-07-01 16:48:06
3
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About