@fazzapodcast._: #creatorsearchinsights UTOFAUTI KATI YA MIKANDA MIWILI .... #WrestleMania #WWE #SummerSlam #prowrestling @WWE

FAZZAPODCAST._
FAZZAPODCAST._
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 15:39:52 GMT
18006
970
33
10

Music

Download

Comments

abdalamussa36
dullah 36🧸🤍 :
brother ivyo ni vitu vitatu tofaut mkanda wa universal umeondolewa kwa sasa na miaka kadhaa nyuma uo mkanda wa heavy weight champ haukuwepo ila Wwe under TRIPLE H wakaona waurudishe tena mkanda wa heavy weights champ na wakauondosha mkanda wa universal na ndy maana roman anamiliki heavyweight champ kwa mara ya kwanz sbb uko nyuma alikua anamilik universal na undisputed champ #ni mawazo yang sipo apa kukejel kaz yako appreciate sana🫡
2026-07-02 03:28:52
7
noahautoelectrical__500
NOAH AE :
mkanda mkubwa ni undisputed championship (universal championship) heavyweight championship sio mkubwa sema wapangaj wa show wameushusha hadhi mkanda huo kwa kumpa Cody Rhodes
2026-07-02 14:05:57
3
wil_yrn
WIL_SINCE_96 :
kulikuwa na wwe universal champions na wwe champions ambayo ulishikilia na roman reigns baada ya pambano la bray Wyatt na Strowman akashinda na alidumu nao mpaka mwshoni mwa mwaka 2022 wakajoin hizo titles zote unaitwa wwe undisputed champion namaanisha wwe universal champions ulikuwa smackdown na wwe champion ulikuwa raw hata the Usos walijoin titles walipombana na Randy Orton na riddle (RKBRO) lakini kwa tag titles
2026-07-01 16:14:38
5
master_kraznys
master_kraznys :
iko hivi WWE main roster Kuna two separate brands ambazo ni Monday night RAW na Friday night Smackdown. before wrestlemania 38 top title ya RAW ilikuwa WWE championship ambayo ilikuwa inashikiliwa na boby lashley ambae ali lose title kwenye elimination chamber ikaenda kwa Brock Lesnar. na smackdown top championship ilikuwa Universal championship ambayo alikuwa anashikilia Roman reigns. sasa since roman na Brock walikuwa kwenye feud, match yao ya wrestlemania 38 walikuwa na championship unification match ambayo roman alishinda akawa the UNDISPUTED WWE UNIVERSAL CHAMPION. kwo mkanda wa raw ukawa unashikiliwa na mtu wa smackdown kwo ikaleta power vacuum ndo 2023 kwenye night of champions kule Saudi Arabia ikafanyika title match kati ya Seth Rollins na Aj Styles ambayo Seth alishida akawa the inaugural World Heavyweight Champion ambayo ni championship ya RAW. kwo sasa kukawa na 3 world titles ikabidi wa merge zile mbili za Roman kutengeneza hiyo UNDISPUTED WWE championship ambayo aliipoteza kwa Cody Rhodes wrestlemania 40. and baada ya hiyo waka rebrand championship zote zile raw tag team championship zikabadilishwa kuitwa world tag team championships na zile za smackdown zikaitwa WWE tag team championship. hata kwa wanawake raw women's championship ikabadilika kuwa world women's championship na ile ya smackdown ikaitwa WWE women's championship. I guess nimeeleweka😆😆😆
2026-07-03 02:20:40
2
xoltandeus
Xoltan@2004 :
kosa
2026-07-01 18:26:47
0
ayuburaphael2
ayubu Raphael :
kwaio uyo ni Sam au cody
2026-07-01 23:28:29
0
hazuju10
HAZUJU :
ww apo uwongo
2026-07-01 18:11:50
0
noahautoelectrical__500
NOAH AE :
cema triple h ni jau sana wanangu au mnasemaje 🤷🤷
2026-07-02 14:07:59
0
xoltandeus
Xoltan@2004 :
umekosea WWE ipo miwili
2026-07-01 18:27:45
0
ucey85
OTC_1 :
universal , heavyweight na undisputed ni vitu vitatu tofauti Kun time mkanda unaondolewa mshindi akifikisha siku 1000 ya kuumiliki, universal ilifungiwa Bada roman kuvuka zaodi ya siku3 1000 ukaletwa heavy weight kwaajili ya main roaster wrestlers na undisputed ni kwaajili ya Kila mmoja anaweza kushinda Kwa kupiga bingwa ATA awe underdog
2026-07-01 16:35:06
0
sahiltvontheline5
yusufu phone 📱 tz :
leo umekosea WWE ndo mkanda mkubwa
2026-07-01 19:03:11
2
iconny64
jaytrox77 :
baba natk kuwa naangalia mieleka live naipataje sas
2026-07-01 15:50:37
0
wil_yrn
WIL_SINCE_96 :
block Lesnar alibeba wwe universal champion then akampiga bob lashley akabeba wwe champion
2026-07-01 16:17:50
0
nafs_mad.dragon
Nafs_mad.dragon :
universal championship ndo mkubwa heavyweight championship ni mkubwa lakini bado upo chini ya WWE fatilia history ya WWE mzee
2026-07-13 04:31:13
0
newman92
TATA BM🦅🇹🇿(NYEBHOSA) :
heivy weight ndio una thamani kubwa
2026-07-01 21:39:38
0
enockerick16
Enock Erick :
undisputed ni muunganiko wa mkanda wa smackdown na wa raw
2026-07-02 21:39:03
0
xoltandeus
Xoltan@2004 :
afu mkanda mkubwa ni WWE universal
2026-07-01 18:34:11
0
festophd
festo tz :
Mkand wa sem mkubwa
2026-07-01 19:17:29
0
michaelmathias312
AS MLK :
🔥🔥🔥
2026-07-01 18:59:12
0
www.tiktokcommendira
Mendira :
🥰🥰🥰
2026-07-02 12:18:35
0
xoltandeus
Xoltan@2004 :
kuna WWE universal na WWE undisputed champion ambao anao Sammy zanny na WWE heavy weight champion @@FAZZAPODCAST._
2026-07-01 18:31:49
0
www.tiktok.commee28
MEE :
🥰🥰🥰
2026-07-01 18:48:54
0
To see more videos from user @fazzapodcast._, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About