@jugo_media: Askofu Lazarus Vitalis Msimbe aonesha umahiri katika upigaji wa Kinanda | Watu washangazwa na kipaji kikubwa alichonacho. . . Tamasha Maalumu la Uimbaji lililoandaliwa na Flying Family Choir (FFC); Kwaya ambayo umekutanisha Waimbaji wa Madhehebu Matatu ambayo ni:- Kanisa Katoliki, Kanisa la Anglikana na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) | Ukumbi wa Kadinali Rugambwa, Parokia ya Oyster Bay, Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam. : : #jugomedia #injilikiganjanimwako #jugomedialive @jugo_media www.jugomedia.net