@simon.landa01: Chuma kama chuma😅#gold #goldmonster1000 #minelab #🇹🇿

simon landa
simon landa
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 15:56:50 GMT
75416
2792
107
174

Music

Download

Comments

naahcollection25
Naah collection :
Nitafute ka mashine kang kam hako nipite nacho kilaa mtaaa😅😅😅😅
2026-07-16 07:19:46
85
izzywizy3
MAKALA👑 :
me ninayo iyo mashine nataka milion 3.9
2026-07-11 08:34:32
57
maassa36
Martha cute🥰 :
Kama hako ka kadhahabu ni shngap 🥺🥺
2026-07-15 14:57:17
16
demairah
Dettah Bwizzo😜 :
Madalali wa Geita Katoro mkiona hii Comment nataka mnitafutie chumba karibia na mgodi 😂🤣
2026-07-18 11:31:35
5
daltonxxxpizzo
Daltonxxxpizzo :
Mhh unaeza ona ni rahisi😂😂
2026-07-10 17:01:19
28
babydoreen044
doreen :
mali nje nje daaah
2026-07-17 14:22:55
3
matiku.john
Matiku Jm :
hizo mashine mtusaidie kuzipata zinapatikana wapi
2026-07-20 14:34:36
0
dorcas.mwabenga
Dorcas Mwabenga :
Kumbe tudhahabu tunakuwaga ni tujiwe tyu eee☺️
2026-07-17 13:15:03
5
nike26906
nike⚽️⚽️ :
hicho kidude chakugundulia dhahabu kinauzwa shingapi wajameni🙏
2026-07-15 06:53:07
6
lavinakichuna
Lavina Shabani :
Hatal
2026-07-20 08:23:28
0
barakamashaka773
bless :
hako ka mashine ni shiling ngapi
2026-07-18 07:20:06
0
officialesamo
Esamo :
hii mashine naweza kuipata shingap
2026-07-19 13:13:27
0
tinajuma55
Tinah🦋🌷 :
mume wangu😁
2026-07-15 20:29:16
5
amina.hussein03
Amina Hussein :
hiyo mashine bei gani
2026-07-10 14:51:03
6
bewise1104
Bewise :
Mungu si kiziwi
2026-07-17 05:27:59
0
anniecollection21
Annie_collection :
hizi video za gold zishanifululizia sana jmn😂
2026-07-19 16:35:07
1
bluxesleepwear1
B_ luxe sleepwear 🛍️✨ :
Nna shida na icho kifaa😌😌
2026-07-15 17:52:38
0
amigos.mexican7
Amigos Mexican :
kumbe ayo mawe ndo dhahabu asa uku mbona tunajengea nyumba
2026-07-18 12:14:41
0
mauajicharlesshit
Mauaji Charles Shitu :
wap hapa
2026-07-08 18:02:58
2
g.ofial
G ofial :
Mbona laisi tuuu
2026-07-14 09:14:36
3
dodoma.real.estates_1
Nyumba,Viwanja na Mashamba :
naiuza hiyo machine 2.5M
2026-07-14 00:36:39
2
soweto929boy
BAFANAog :
malaikaaaaaaaaaaaa
2026-07-14 13:42:00
0
mdoe_laviva
MDOE_LAVIVA :
HII NCHI SOOON WATU WENYE UHITAJI WATAKUJA KUICHUKUWA
2026-07-18 12:11:39
1
aficanface1
AFRICAN FACE :
Noma sana
2026-07-09 11:02:06
3
fredah_multicollection
Sassy_Lassie💋💦 :
hao wa katoro eh?
2026-07-14 15:39:50
1
To see more videos from user @simon.landa01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About