@bongofive: Msanii wa #Kingsmusic @vanillahmusic amefunguka akiwa kwenye Podcast ya #B4TheFame kuwa mara ya kwanza kufika Dar es Salaam alizimiwa simu na mwenyeji wake, ameyaongea hayo akiwa na @el_mando_tz Kuangalia mahojiano kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongofive
mkubali sana huyo mshikaji alifanya ukajitafuta hadi leo umejipata
2026-07-01 19:07:29
28
NIKO ///AMG :
kwan nn situation za dar zipo hvyo
2026-07-02 06:20:39
5
Jayonce.SumsangTz🇹🇿💫 :
oya waliopitia hilo life aaaaaah oya cheche ✨
2026-07-02 13:10:48
6
Youngytoh FBT :
wow
2026-07-01 17:55:40
7
Allen@josephat :
one of the best melod musician
2026-07-01 19:27:06
9
samson mwamengo 🌺🌺 :
brother vanillah una jua kuimba kaka nakukubali sana
2026-07-01 21:00:34
7
RAMSO ACE💦 :
daaah wanangu zimetukuta sana hizi
2026-07-02 20:53:39
2
Joro@khan :
dalili za mimba plz
2026-07-02 14:05:59
2
O.k Ngunila :
sema nin mkumbuke Dav j yupo Texas
2026-07-01 19:03:48
5
RONYA BOY :
successful based on reason and reality 🔜💸💸
2026-07-03 05:24:48
1
nuhu :
upo good kak
2026-07-01 21:07:16
2
Josd_Platvox :
napenda
2026-07-03 07:18:54
0
mikemteleshi_ :
Best writer and artist
2026-07-02 10:56:40
1
Sarathina :
like your video
2026-07-03 08:11:35
0
saymon :
kumbe yametukuta wengi🤣🤣🤣
2026-07-01 18:36:25
10
Mp1companylimitedCEO :
ilishanikuta hyo kaka majuzi tu
2026-07-01 18:10:41
6
michaelmanula3 :
mo music, baraka ,young killer na fid kipindi vp c ungewachek
2026-07-01 17:41:56
1
Freylidy Jroberty :
mshukuru mungu pamoja na mshkaji aliyekupa moyo wa kuja dar japo alikutupa ila alikua wew mtoto wa kiume utapambania changamoto ndio maisha halisi ya binadamu🇹🇿🇹🇿